Wanafunzi wa Kisabato Wafukuzwa TEKU kwa Kukataa Kufanya Mitihani Siku ya Sabato naomba muongozo wa kisheria

Wanafunzi wa Kisabato Wafukuzwa TEKU kwa Kukataa Kufanya Mitihani Siku ya Sabato naomba muongozo wa kisheria

''Atakayevumilia mpaka mwisho ndio atakayeokolewa'' Mungu ataonyesha njia kwao hayo ni majaribu tu ya Dunia hii always sabbath day will remain the seal.
 
Laana ni kwa mtu husika au kwa dunia yote?
Uwepo wa hiki kikundi kikiwa bado kina mitazamo ya ya yule mwanamke tutapata shida sana.....

Imagine dini ya Kisabato imeanzishwa na mwanamke....mwanamke yule kwanza alikuwa na historia ya kuwa na magonjwa ya akili..imagine leo hii watu wanafuata mawazo ya mtu alipatwa na kichaa...matokeo take ndio haya ya kugomea mitihani kwenye chuo cha Kikristo...

Cult religiom ni religion ambayo inabdili kila siku doctrine zake...SDA ipo katika kipindi kigumu cha kubadili sura ya mafundisho yake...kwasasa sermon za Kisabato zimechukua mrengo wa Kipentekoste.....Huku nembo ya awali ya mailaika watatu ikibadiloshwa na kuwekwa logo mpya..

SDA ilikuwa hakuna msalaba kwenye kila kitu chao..ila Logo yao leo ina msalaba...linaendelea kujibadilisha taratibu.. ..
 
''Atakayevumilia mpaka mwisho ndio atakayeokolewa'' Mungu ataonyesha njia kwao hayo ni majaribu tu ya Dunia hii always sabbath day will remain the seal.
Wanapata faida gani baada ya kufukuzwa shule.. ?? Au wanendaliwa uchungaji..??
 
Hao nao waache upimbi wa kujifanya kuwa wao ni wayahudi kuliko wayahudi wenyewe, Mbona waislamu wanapiga pepa hadi Ijumaa? Mbona hapo SUA wakristo wanapiga pepa hadi J2 lakin hatusikii upunguani wowote kama huu?
Sua kwenyew wasabato hawafanyishwi mitihani siku ya sabato, tuliwahi kupata hiyo kadhia but professors wengine waelewa, tulipewa mitihani yetu.

Elimu za kibongo full stress, kukimbizana na kuogofyana
 
Uwepo wa hiki kikundi kikiwa bado kina mitazamo ya ya yule mwanamke tutapata shida sana.....

Imagine dini ya Kisabato imeanzishwa na mwanamke....mwanamke yule kwanza alikuwa na historia ya kuwa na magonjwa ya akili..imagine leo hii watu wanafuata mawazo ya mtu alipatwa na kichaa...matokeo take ndio haya ya kugomea mitihani kwenye chuo cha Kikristo...

Cult religiom ni religion ambayo inabdili kila siku doctrine zake...SDA ipo katika kipindi kigumu cha kubadili sura ya mafundisho yake...kwasasa sermon za Kisabato zimechukua mrengo wa Kipentekoste.....Huku nembo ya awali ya mailaika watatu ikibadiloshwa na kuwekwa logo mpya..

SDA ilikuwa hakuna msalaba kwenye kila kitu chao..ila Logo yao leo ina msalaba...linaendelea kujibadilisha taratibu.. ..

Inaonekana una mengi ya kusema mpk unachanganyikiwa
 
Kwanza kabla ya mjadala kuendelea, ningependa kujua ni vitu gani ambavyo si ruhusa kwa SABATOS kuvifanya siku ya jumamosi, tukisha jua hilo then, tutaweza kuuweka mtihani katika kundi gani, baadae kutoa maamuzi, karibu..
Jibu ni rahisi sana soma kitabu cha kutoka sura ya 20 aya ya 8-11. Neno msisitizo USIFANYE KAZI YOYOTE. Zingatia Kazi YOYOTE.
 
ni siku yao ya kuabudu.labda kuanzia jioni ya 12 ndio mtiahni unaweza fanyika. hiyo ilikuwa kawaida katika udsm chuo kongwe jumamosi test na mitihani ni usiku au jion kabisa.TEKU wanatapatapa watawarudisha hao
nadhani UDSM ni govt TEKU ni private na wana sheria zao kile ni chuo cha kiroma kama sijakosea nasikia SAUT na MWENGE pia hadi jmosi kuna shule ila jpili hakuna kwa hyo kama wakati wanaingia chuoni waliambia hzo sheria basi chuo hakina makosa
 
Ya kaisari apewe kaisari na ya Mungu apewe Mungu, waache kuchanganya dini na taaluma, vyuoni si mahala pa kudumu ni sehemu za kupita tu na kila sehemu kuna taratibu zake, kila mtu kila sehemu akisema afanye kwa jinsi anavyoamini unadhani kuna la maana litaendelea kweli?
Imani ya Sabato ni conservative na sio liberal. Wenye imani ya ki liberal wao wanaona kama wewe na hawaoni Ugumu wa kufanya shughuli zao siku ya ibada yao.
 
Nadhani wanafunzi waache ujinga, mtihani siku ya J1 wala J2 au siku zingine haina shida. Mbona waislam wanafanya kazi Ijumaa? Mbona shuguli za chaguzi hufanyika J2?

Sabato ya kweli ni pumziko moyoni, lipatikanalo ndani ya Yesu pekee ambaye ni Bwana wa sabato. Siku zote ni za Mungu, hakuna hata moja ambayo ni ya shetani, na siku zote inabidi tumwabudu Muumba.

Kakika nchi za kiarabu, wakristo hukusanyika siku ya Ijumaa (J1 na J2) ni siku za kazi.

Alafu wakati leo hapa ni J1 kwingine ni Ijuma au J2. So kasome maandiko vizuri, wahsauri wanafunzi wenu wakafanye mitihani siku yoyote itakapotolewa.

Pia Yesu alisema msingi wa sabato ni kufanya mema, kama vile "kumokoa punda shimoni", mtijani wako na wa thamani sana kuliko thamani ya Punda!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Usilolijua ni usiku wa giza full stop.
 
Hao waache ujinga wa kuleta dini vyuoni mbona waislamu wanafanya mitihani ijumaa,wasituletee visilani basi waende vyuo vya kisabato.
Mtume sliwaagiza pale Madina. Madina kuwa wa ki maliza kuswali waende kufanya kazi. Tambua kuwa wa Islam hawana siku ya saba ila wana siku 5 mbili Jumatano na Alhamisi zote ni 5 na wanatambua kabisa kuwa Mtume aliswali siku ya maandalizi ya Sabato.
 
wasabato na waislamu ni ndugu wenye interest zinazofanana wanatofautiana lugha tu tusipofata sheria na taratibu hatutafika kiukweli
 
Ya kaisari apewe kaisari na ya Mungu apewe Mungu, waache kuchanganya dini na taaluma, vyuoni si mahala pa kudumu ni sehemu za kupita tu na kila sehemu kuna taratibu zake, kila mtu kila sehemu akisema afanye kwa jinsi anavyoamini unadhani kuna la maana litaendelea kweli?

Hauwajui wasabato wewe.unadhani hao ni walokole fuata upepo.hao vijana watarudi chuo na hiko chuo kitaacha ujinga huo mara moja.
 
POLENI,NAKUMBUKA ENZI HIZO KWENYE CHUO FULANI CHA UMMA ILITOKEA KM IVYO PROF AKASEMA KWA KUWA MMEAMUA KUNIPANGIA RATIBA HAINA SHIDA INAWEZA IKATOKEA WW NI ASKARI BADALA YA KUSONGA MBELE UNASEMA LEO VITA HAITA PIGANWA KWA KUWA NI SABATO.AU SITATIBU MGONJWA KWA KUWA NI SABATO.AKASEMA KWA KUWA JUMAPILI NILIKUWA NA PEPA NA WANAFUNZI WA MSC BASI WALE WA SABATO NTAWAOUNGANISHA NA HAO WA MSC NA ITABIDI NITUNGE MITIHANI MIWLI KWA AJILI YAO ,BAHATI MBAYA WENGI WAO WALIPATA CHINI YA 50 NA UE IKAWA IVYO MWISHO WAKA BEBA SOMO,KATI YA 20 10 ILIBIDI WASOME MIAKA MINGI ZAIDI NA 5 WAKADISCO BAADA YA 3 ATTEMPT,NA WATANO KUCHOMOKA ILA MWAKA ULIOFUATA HAIKUJITOKEZA TENA SUALA HILO NA PROF YULE KWAKE J3 NDO HAFUNDISHI SANA ILA KUANZIA IJUMAA MPAKA JPILI NI VIPINDI NA PEPA.
ILA ALISISITIZA KUWA UNA HIYARI KUINGIA DARASANI AU KUABUDU ILA SINA MAKE UP KWA KUWA ULIJUA NI CHUO CHA UMMA NA ULISOMA FOMU YA KUJIUNGA KABLA YA KUJA NA UKARIDHIA BAADA YA NAFSI KUKUBALI.KATIBA INASEMA UHURU WAKO USIHARIBU UHURU WA MWINGINE,WAISLAMU NAO WAKISEMA IJUMAA?RC WAKASEMA JUMAPILI?
Nikirejea Ibara ya 19 ya Katiba yetu ya JMT ya Mwaka 1977 inatoia Uhuru wa Mtu Kuabudu.......

Hali kwa Chuo Kikuu cha Theophile Kisanji ni Tofauti kwani wanafunzi wapatao 8 wamefukuzwa Chuoni hapo kwa madai ya kutofanya mitihani iliyopangwa kufanyika siku ya Jumamosi Sabato kwamba kwa kanuni za Chuo hicho hiyo si sababu ya kumfanya mwanafunzi asifanye mitihani

Wanafunzi hao wapo mitaani kwa sasa wakisaka msaada wa kisheria

  1. Je yamkini wakati wanafunzi hao wanapokelewa hilo halikuwekwa bayana?
  2. Mbona Mitihani isiwe Jumapili?
  3. Wapi Uhuru wa Kuabudu kwa mujibu wa Katiba JMT na sheria?

Je mnawashauri nini wanajamvi?
 
Dini inapokuwa mzigo na upofu wa kiimani ni janga! Unakataa kufanya mitihani ili kuilinda sabato wakati una dhambi nyingine kibao unazifanya ni upumbavu

Mshana unauhakika wale vijana wanadhambi kibao.au majumuisho yako ya kimawazo?
 
Back
Top Bottom