Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Ni kweli kabisa...waende kile Chuo Chao cha ArushaWapambane na hali zao katika kuomba, Mungu atafungua njia nyingine kwa ajili yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa...waende kile Chuo Chao cha ArushaWapambane na hali zao katika kuomba, Mungu atafungua njia nyingine kwa ajili yao
Laana ni kwa mtu husika au kwa dunia yote?Kwakuwa ni laana nyingine ya dunia inayotukabili
Uwepo wa hiki kikundi kikiwa bado kina mitazamo ya ya yule mwanamke tutapata shida sana.....Laana ni kwa mtu husika au kwa dunia yote?
Wanapata faida gani baada ya kufukuzwa shule.. ?? Au wanendaliwa uchungaji..??''Atakayevumilia mpaka mwisho ndio atakayeokolewa'' Mungu ataonyesha njia kwao hayo ni majaribu tu ya Dunia hii always sabbath day will remain the seal.
Sua kwenyew wasabato hawafanyishwi mitihani siku ya sabato, tuliwahi kupata hiyo kadhia but professors wengine waelewa, tulipewa mitihani yetu.Hao nao waache upimbi wa kujifanya kuwa wao ni wayahudi kuliko wayahudi wenyewe, Mbona waislamu wanapiga pepa hadi Ijumaa? Mbona hapo SUA wakristo wanapiga pepa hadi J2 lakin hatusikii upunguani wowote kama huu?
Uwepo wa hiki kikundi kikiwa bado kina mitazamo ya ya yule mwanamke tutapata shida sana.....
Imagine dini ya Kisabato imeanzishwa na mwanamke....mwanamke yule kwanza alikuwa na historia ya kuwa na magonjwa ya akili..imagine leo hii watu wanafuata mawazo ya mtu alipatwa na kichaa...matokeo take ndio haya ya kugomea mitihani kwenye chuo cha Kikristo...
Cult religiom ni religion ambayo inabdili kila siku doctrine zake...SDA ipo katika kipindi kigumu cha kubadili sura ya mafundisho yake...kwasasa sermon za Kisabato zimechukua mrengo wa Kipentekoste.....Huku nembo ya awali ya mailaika watatu ikibadiloshwa na kuwekwa logo mpya..
SDA ilikuwa hakuna msalaba kwenye kila kitu chao..ila Logo yao leo ina msalaba...linaendelea kujibadilisha taratibu.. ..
Jibu ni rahisi sana soma kitabu cha kutoka sura ya 20 aya ya 8-11. Neno msisitizo USIFANYE KAZI YOYOTE. Zingatia Kazi YOYOTE.Kwanza kabla ya mjadala kuendelea, ningependa kujua ni vitu gani ambavyo si ruhusa kwa SABATOS kuvifanya siku ya jumamosi, tukisha jua hilo then, tutaweza kuuweka mtihani katika kundi gani, baadae kutoa maamuzi, karibu..
nadhani UDSM ni govt TEKU ni private na wana sheria zao kile ni chuo cha kiroma kama sijakosea nasikia SAUT na MWENGE pia hadi jmosi kuna shule ila jpili hakuna kwa hyo kama wakati wanaingia chuoni waliambia hzo sheria basi chuo hakina makosani siku yao ya kuabudu.labda kuanzia jioni ya 12 ndio mtiahni unaweza fanyika. hiyo ilikuwa kawaida katika udsm chuo kongwe jumamosi test na mitihani ni usiku au jion kabisa.TEKU wanatapatapa watawarudisha hao
Imani ya Sabato ni conservative na sio liberal. Wenye imani ya ki liberal wao wanaona kama wewe na hawaoni Ugumu wa kufanya shughuli zao siku ya ibada yao.Ya kaisari apewe kaisari na ya Mungu apewe Mungu, waache kuchanganya dini na taaluma, vyuoni si mahala pa kudumu ni sehemu za kupita tu na kila sehemu kuna taratibu zake, kila mtu kila sehemu akisema afanye kwa jinsi anavyoamini unadhani kuna la maana litaendelea kweli?
Usilolijua ni usiku wa giza full stop.Nadhani wanafunzi waache ujinga, mtihani siku ya J1 wala J2 au siku zingine haina shida. Mbona waislam wanafanya kazi Ijumaa? Mbona shuguli za chaguzi hufanyika J2?
Sabato ya kweli ni pumziko moyoni, lipatikanalo ndani ya Yesu pekee ambaye ni Bwana wa sabato. Siku zote ni za Mungu, hakuna hata moja ambayo ni ya shetani, na siku zote inabidi tumwabudu Muumba.
Kakika nchi za kiarabu, wakristo hukusanyika siku ya Ijumaa (J1 na J2) ni siku za kazi.
Alafu wakati leo hapa ni J1 kwingine ni Ijuma au J2. So kasome maandiko vizuri, wahsauri wanafunzi wenu wakafanye mitihani siku yoyote itakapotolewa.
Pia Yesu alisema msingi wa sabato ni kufanya mema, kama vile "kumokoa punda shimoni", mtijani wako na wa thamani sana kuliko thamani ya Punda!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Hakikazi. Na sio sabato ni SABATO TAKATOFUHivi JumaMOSI ni sabato?
Na maanisha TAKATIFUHivi JumaMOSI ni sabato?
Thibitishasabato ni siku ya kwanza ya juma, na wala sio jumamosi, someni maandiko
Mtume sliwaagiza pale Madina. Madina kuwa wa ki maliza kuswali waende kufanya kazi. Tambua kuwa wa Islam hawana siku ya saba ila wana siku 5 mbili Jumatano na Alhamisi zote ni 5 na wanatambua kabisa kuwa Mtume aliswali siku ya maandalizi ya Sabato.Hao waache ujinga wa kuleta dini vyuoni mbona waislamu wanafanya mitihani ijumaa,wasituletee visilani basi waende vyuo vya kisabato.
Ya kaisari apewe kaisari na ya Mungu apewe Mungu, waache kuchanganya dini na taaluma, vyuoni si mahala pa kudumu ni sehemu za kupita tu na kila sehemu kuna taratibu zake, kila mtu kila sehemu akisema afanye kwa jinsi anavyoamini unadhani kuna la maana litaendelea kweli?
Nikirejea Ibara ya 19 ya Katiba yetu ya JMT ya Mwaka 1977 inatoia Uhuru wa Mtu Kuabudu.......
Hali kwa Chuo Kikuu cha Theophile Kisanji ni Tofauti kwani wanafunzi wapatao 8 wamefukuzwa Chuoni hapo kwa madai ya kutofanya mitihani iliyopangwa kufanyika siku ya Jumamosi Sabato kwamba kwa kanuni za Chuo hicho hiyo si sababu ya kumfanya mwanafunzi asifanye mitihani
Wanafunzi hao wapo mitaani kwa sasa wakisaka msaada wa kisheria
- Je yamkini wakati wanafunzi hao wanapokelewa hilo halikuwekwa bayana?
- Mbona Mitihani isiwe Jumapili?
- Wapi Uhuru wa Kuabudu kwa mujibu wa Katiba JMT na sheria?
Je mnawashauri nini wanajamvi?
Dini inapokuwa mzigo na upofu wa kiimani ni janga! Unakataa kufanya mitihani ili kuilinda sabato wakati una dhambi nyingine kibao unazifanya ni upumbavu