Tatizo kubwa kwenye usabato,ni kukataa kupokea roho mtakatifu.Ishara za kumpokea kama zilivyotajwa na maandiko,ni marufuku au si za muhimu kabisa kwa wasabato,hapo ndipo matatizo mengi yanaanzia.Kuna uigizaji mwingi kanisani na hasa kuiga wazungu!jinsi ya kuimba,muziki,kuvaa,na wakati mwingine hata kuongea lakini mioyoni watu wamejaa kiburi,majivuno,na kujiinua juu ya imani nyingine bila kutambua kwamba Mungu huliangalia kanisa lake kama mtu mmoja mmoja na siyo kikundi cha watu kilichosajiliwa marekani!Wengi wamedanganyika kuwa Mungu analitambua kanisa lake kwa jina la SDA!Lakini ukiangalia kwa umakini na kicho,utagundua si sahihi kuamini hivyo.Ila tangu Yohana mbatizaji hadi sasa,ufalme wa Mungu hupatikana kwa nguvu(roho mtakatifu)na wenye nguvu ndio watakaouteka!Soma maandiko,upate maarifa.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums