hippocratessocrates
JF-Expert Member
- Jul 1, 2012
- 3,598
- 1,544
Dini ya sabato ina mambo mengi ya ajabu. Mbona Waislam wanafanya kazi siku ya ijumaa?
Umesema kweli kabisa Belinda, ila kuwa msabato si tiketi ya kwenda mbinguni, hili ndio wasabato wengi tunalisahau na kujiona tumesimama. Usengenyaji, uzinzi na uasherati vimetawala kwetu kama ambavyo vimetawala sehemu zingne......Ni kwa neema tu tuzidi kuombeana.
Watu tumefanya mitihani na presentation siku za pasaka na jumapili kwanini wasiwe wao? ngoja wajaribu kupima kipi kinawagharimu kati ya kuwepo mtaani sababu ya sabato na kufanya mtihani siku ya sabato. Jibu watalipata.
Umesema kweli kabisa Belinda, ila kuwa msabato si tiketi ya kwenda mbinguni, hili ndio wasabato wengi tunalisahau na kujiona tumesimama. Usengenyaji, uzinzi na uasherati vimetawala kwetu kama ambavyo vimetawala sehemu zingne......Ni kwa neema tu tuzidi kuombeana.
Tatizo kubwa kwenye usabato,ni kukataa kupokea roho mtakatifu.Ishara za kumpokea kama zilivyotajwa na maandiko,ni marufuku au si za muhimu kabisa kwa wasabato,hapo ndipo matatizo mengi yanaanzia.Kuna uigizaji mwingi kanisani na hasa kuiga wazungu!jinsi ya kuimba,muziki,kuvaa,na wakati mwingine hata kuongea lakini mioyoni watu wamejaa kiburi,majivuno,na kujiinua juu ya imani nyingine bila kutambua kwamba Mungu huliangalia kanisa lake kama mtu mmoja mmoja na siyo kikundi cha watu kilichosajiliwa marekani!Wengi wamedanganyika kuwa Mungu analitambua kanisa lake kwa jina la SDA!Lakini ukiangalia kwa umakini na kicho,utagundua si sahihi kuamini hivyo.Ila tangu Yohana mbatizaji hadi sasa,ufalme wa Mungu hupatikana kwa nguvu(roho mtakatifu)na wenye nguvu ndio watakaouteka!Soma maandiko,upate maarifa.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Atleast wewe umekuwa muwazi...Hebu waelimishe na wengine bana..
Mengi ya ajabu kama yapi?..Nadhani ni bora kuziheshimu iqmbi na dini za wengine pia, maana kupitia "uajabu" huo watu wanaimani.
Sichanganyi hata kidogo ila wewe ndiye naona unachanganya. Usisahau adui mkubwa wa msabato ni Mkatoliki..... Nikupe hiyo tena!Mkuu, nadhani utakywa unachanganya Imani ya Kisabato na Mapokeo ya Kiyahudi.
Yesu aliivyunjilia mbali sabato, alisema yeye ndio Sabato. kumfuata na kutenda anayofundisha kila siku ni sabato tosha. Sio siku moja kwa wiki bali ni kila siku
Sichanganyi hata kidogo ila wewe ndiye naona unachanganya. Usisahau adui mkubwa wa msabato ni Mkatoliki..... Nikupe hiyo tena!
Yesu aliivyunjilia mbali sabato, alisema yeye ndio Sabato. kumfuata na kutenda anayofundisha kila siku ni sabato tosha. Sio siku moja kwa wiki bali ni kila siku
MaxShimba weye sio msabato...?? mbona unakula kitimoto