Wanafunzi wa Kisabato Wafukuzwa TEKU kwa Kukataa Kufanya Mitihani Siku ya Sabato naomba muongozo wa kisheria

si wana cha kwao kinaitwa university of arusha yaani ni usabato tupu wanaamini dini nyingine hamna kwao kazi ijumaa na jumapili ni kama kawa hao wanaleta umbulula labda wao ni masalia

"DONT ALLOW THE INTEGRITY OF YOUR OWN WAYS OF SEING AND SEING THINGS TO BE SWAMPED BY THE INFLUENCE OF MASTER HOWEVER THE GREAT"GEORGE P LATHROAD
 
so hapa ni scratch my back I scratch yours?
 
hadi Jumapili kuna mitihani?
 
Ni kweli ya Kaisari apewe Kaisari na ya Mungu apewe Mungu; Kwa vile Sabato ni ya Yesu wako sawa kumheshimu kwa hakika ya Kaisari ni kodi si Sabato.
 
Kwanza kabla ya mjadala kuendelea, ningependa kujua ni vitu gani ambavyo si ruhusa kwa SABATOS kuvifanya siku ya jumamosi, tukisha jua hilo then, tutaweza kuuweka mtihani katika kundi gani, baadae kutoa maamuzi, karibu..

Kutoka 20:8-11

"Ikumbuke siku ya sabato uitakase siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote lakini siku ya saba ni sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako wala mjakazi wako wala mnyama wako wa kufuga wala mgeni aliye ndani ya malango yako. maana kwa siku sita Mungu alifanya mbingu na nchi na bahari na vyote vilivyomo akastarehe siku ya saba kwa hiyo Bwana Mungu akaibariki siku ya sabatu akaitakasa."
 
Kwa uelewa wangu mtihani haupo katika vilivyozuiliwa kufanya siku ya saba. mna-complicate tu imani yenu safi ya sabato na kuonekana kama ni tatizo.. Ile mijikazi ya nguvu inayokufanya hata unavua shati kwa mijasho ndio iliyokatazwa.
 
Soma Isaya 58:13...........
 
hapo andiko si linasema AKASTAREHE? au tutafute maana yake?
Kwa uelewa wangu mtihani haupo katika vilivyozuiliwa kufanya siku ya saba. mna-complicate tu imani yenu safi ya sabato na kuonekana kama ni tatizo.. Ile mijikazi ya nguvu inayokufanya hata unavua shati kwa mijasho ndio iliyokatazwa.
 
rest-pumzika, wewe unakubaliana na lipi?
Wayahudi wote wafundisha ya kwamba sheria zote za Sabato zaweza kuvunjwa kama maisha ya kibinadamu yako hatarini.
Kwa muda mrefu Jumapili iliheshimiwa kama siku ya ibada ya kikristo lakini bila masharti ya kuacha kazi. Sharti hili lilikaziwa tu katika nchi za Ulaya tangu karne ya 18 na 19. Maandishi haya nimeyapata kwenye wikipedia hii inamaanisha kwamba sabato ni siku ya mayahudi na wala sio siku ya manasara (wakristo), pia siku yeyote kati ya Jumamosi au Jumapili muumini anaweza kufanya kazi pindi kama maisha yake yako hatarini; swali jee kukosa mtihani (kwa kishingizio cha sabato) hakuhatarishi maisha ya mwanafunzi husika..????? angusha points hapo mwanangu..???
 
kila mtu na aheshimu dini ya mwenzake. Hao wanafunzi wanajua misingi ya imani yao ndo maana wakakataa paper. Nawe kama umefundishwa kupuuza imani yako endelea hivyo2 maana at the end kila mtu atatetea nafsi yake.

ndo maana yake mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…