Wanafunzi wa kiume wa shule za msingi za serikali kuvaa kaptula

Wanafunzi wa kiume wa shule za msingi za serikali kuvaa kaptula

ahmedjuma4

Senior Member
Joined
Jul 16, 2019
Posts
107
Reaction score
224
Habarini wadau
Mimi nimejiuliza sana , kwann wavulana katika shule za serikali wavae kaptula? Mbona wasichana wanavaa sketi kuanzia chekechea mpk high school?

Mimi upande wangu naona kama kuna udharirishaji kwa wavulana wanafunz kwenye upande huo, na endapo wakavaa suruali kuanzia darasa la kwanza mpk high school kuna shida gani?

Kwanini iwe shule za msingi pekee? Hii sio sawa, na ikiwezekana serikali ilitolee ufafanuzi... unakuta mwanafunzi mkuuubwaaa afu kavaa pensi daah, yaan hii sio sawa .. Waziri mwenye dhamana aliangalie hili
 
Habarini wadau
Mimi nimejiuliza sana , kwann wavulana katika shale za serikali wavae kaptula? Mbona wasichana wanavaa sketi kuanzia chekechea mpk high school?

Mimi upande wangu naona kama kuna udharirishaji kwa wavulana wanafunz kwenye upande huo, na endapo wakavaa suruali kuanzia darasa la kwanza mpk high school kuna shida gani?

Kwanini iwe shule za msingi pekee? Hii sio sawa, na ikiwezekana serikali ilitolee ufafanuzi... unakuta mwanafunzi mkuuubwaaa afu kavaa pensi daah, yaan hii sio sawa .. Waziri mwenye dhamana aliangalie hili
Wewe upo darasa la ngapi kwani? umeongea kwa uchungu sana..
Au basi wewe ni memkwa bila shaka.
 
Mentality za kikoloni tu.

Zamani hata waalimu, waajiriwa wengine, ma police nk ilikuwa hivyo.
Jiulize hata mahakamani kwa mahakimu na wanasheria kuvaa mawigi. Kasumba tu za kikoloni.
 
Kaptula?mambo mangapi muhmu tumeacha tunapaswa kupigania?tanganyka yetu ww unadai kaptula katiba ww unadai kaptula tume huru ww unadai kaptula.uko sawa kweli
 
Back
Top Bottom