Wanafunzi wa law school wamenyimwa pesa za mafunzo kwa vitendo

Wanafunzi wa law school wamenyimwa pesa za mafunzo kwa vitendo

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,296
Kumekuwa na utaratibu wa kuwapatia wadogo zetu pesa kidogo za kuwasaidia katika mafunzo kwa vitendo,sasa kilichotokea japokuwa wanafunzi tiari wako field wizara imegoma kutoa pesa kwa madai seeilali haina hela,wanafunzi walio wengi walipangiwa field mbali na makwao kwa matarajio kuwa hiyo pesa itawasaidia uko,sasa kilichotokea serikali imewageuka,hali ni mbaya sana,nmejitahidi kungharimikia. mdgo wangu naona naelekea kushindwa,tunaomba serikali isikie kilio cha hawa wanafunzi wawapatie hzo hela,law school imekuwa ni moja ya shule. za manyanyaso hapa tanzania tunaomba serikali muwasaidie.
 
Back
Top Bottom