naskia ni kutokana na ratiba ngumu ya masomo, kuna ukweli juu ya habari hizi au ni kwa sababu zingine. nimezipata leo kutoka kwa rafiki yangu anaesoma mwaka wa pili hapo muhimbili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.