Wanafunzi wa mwaka wa kwanza waambiwe ukweli

Wanafunzi wa mwaka wa kwanza waambiwe ukweli

kopozi

Senior Member
Joined
May 30, 2014
Posts
136
Reaction score
22
Hasa wakati wa orientation week(s) waambiwe mambo ya msingi kama vipi unapata course works,kusap kunatokeaje na hata kudisco.
sio mambo ya kuoneshwa cafeteria na vyoo....watazijua tu wakisikia njaa ama kubanwa haja.
Karibuni vyuoni
 
haha kweli na boom likikata hali inakuaje...ile milio ya njaa njaa!
 
haha kweli na boom likikata hali inakuaje...ile milio ya njaa njaa!

Umeona eeeh....sio unanionesha hii ndo cafeteria one...two na daruso....mara huyu ndo mtoto wa chuo atakuwa anakuuzieni peni na karatasi....hujakaa sawa kozi kama tatu zote course works zinacheza viduku
 
Back
Top Bottom