mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni watoto ktk hiyo clip, "hawakitakiwa" kutingisha matacko hivyo tena na sare za shule!halafu zingine hua ni movies watu wanaigiza uanafunzi.
Hahahshahahah na kweliWaache na viherehere vyao wakanengue hivyo hivyo baada ya kulishwa chips!
Yule jamaa kasema hasomeshi wazazi.
Hehe elimu ni ufunguo wa wodinihauna shida Lakini Maana sikuhizi Elimu ina mwisho (MIMBA). Isitoshe hawa wengine Kama wa vyuo uchwara vilivyopo mjini
Skuizi akijaa tu no skuliAko kenye scarf nyeusi itabidi katafutwe, nataka nikape tuisheni ya bure masomo yote!!
Wazazi wanahongwa kuwalinda waliowapa mimba, mwisho wa siku wanakuwa na wake wabichi,Skuizi akijaa tu no skuli
Kuna psychological benefits zipi kuwapelekea muziki huko schools halafu schools zingine wanaenda mbali mpaka kuainvite boys school kuja kushiriki dancing na hawa girls.Hao ni watoto ktk hiyo clip, "hawakitakiwa" kutingisha matacko hivyo tena na sare za shule!
Watafaulu??Kuna psychological benefits zipi kuwapelekea muziki huko schools halafu schools zingine wanaenda mbali mpaka kuainvite boys school kuja kushiriki dancing na hawa girls.
Wenyewe wanakwambia socializingKuna psychological benefits zipi kuwapelekea muziki huko schools halafu schools zingine wanaenda mbali mpaka kuainvite boys school kuja kushiriki dancing na hawa girls.
Aaaaaa jamani socialisation isingekua inafanyika hivyo. Huku ni kujikalibishia matatizo .Wenyewe wanakwambia socializing
Elimu ni ufunguo wa LebaHehe elimu ni ufunguo wa wodini