KERO Wanafunzi wa SAUT Mwanza hawajapewa pesa za kujikimu mpaka sasa

KERO Wanafunzi wa SAUT Mwanza hawajapewa pesa za kujikimu mpaka sasa

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Matoto ya sasahv ni maoga mkuu.

Yanaogopa kulala lockup.
Halafu yanakuja kulalama humu as if JF ina mwarobaini wa kila tatizo, push back then njoo humu na mrejesho wa push back, kuna member juzi kati kafanya push back kuhusu malipo yasiyo rasmi kwenye ile zahanati, kila malipo aliyoambiwa alidai control number, na hii ni safi, hakuja kulalama humu
 
Pale Saut upigaji mwingi

Cc Titho Philemon
Mungu awasaidie sana wadogo zetu na wawe wapole tu waendelee kulijenga jiji la Mungu. Kile ni chuo cha kikatoliki huenda bumu liko kwenye mfungo wa kwalesma. Nimesomea pale ninaomba nisiongee sana.
Pale ukifa unatangazwa ila ukifukuzwa hata CR haambiwi. Wawe wapole na wamuone Dean of student Mr Liberatus Ndegeulaya naamini kwa busara zake atawaongoza vizuri na suala litakaa Sawa.
 
Wawe wapole naona uongozi mzima wa HESLB umebadilishwa tusubiri utendaji kazi
 
Back
Top Bottom