Wanafunzi wa SAUT MWANZA wapatao 120 wamefika dar salama 3 asubuhi wanamkia bodi ya mkopo

mmmmh.!!!!! yameanza tena bado UDOM na UDSM kama ndio yamerud tena haya
 
Gharama ya guest na chakula hadi jumatatu si hasara? Wamfate huko huko nyumbani kwake. Drama unfolds.
 
Ikiwa na wewe ni mmoja wao kwa nini usingechukua busara ya kuwawakilisha,
kama ulivyowawakilisha hapa jf?
 
hao wamekua na hamu ya kuja kuona Jiji tu; wanafunzi 120 wataingia Ofisi gani, kwanini wastume uwakilishi kwa ajili ya kuja kuonana na Mkurungezi? na kwanini wacje cku muruha za kazi badala yake wanakuja Wikiendi?????

Wamekuja kucheki mechi ya yanga na azam
 
Nawatakieni safari njema enyi wadogo zangu msikate tamaa, piganieni haki yenu. Mkikosa malazi laleni hata hapo TIRDO au nyumbani kwa Nyatega.
 
hao wamekua na hamu ya kuja kuona Jiji tu; wanafunzi 120 wataingia Ofisi gani, kwanini wastume uwakilishi kwa ajili ya kuja kuonana na Mkurungezi? na kwanini wacje cku muruha za kazi badala yake wanakuja Wikiendi?????

unawajua wawakilishi lakini? wakifika bodi hupewa maneno matamu tu na kurudi bila lolote.. big up SAUT, ila mngekuja hata 50 tu mkaokoa baadhi ya gharama, najua mtakuwa mmelala ubungo terminal maana kama hamjapata pesa kwa muda wote huo basi hela za guest kwa siku mbili au tatu mmepata wapi
 
Tupeni taarifa mmefikia wapi, wekeni namba ya m-pesa hapa nitawachangieni hata buku 5 ya kula.
 
Ni kweli Wenje kawatupa hawa vijana, mkuu don-oba alianzisha uzi humu kumlaumu Wenje. Sasa nimeamini ni kweli.
hao magamba ndo walikuwa wanampinga wenje mwanzoni.. baada ya yeye kushinda ndo wakajifanya kuhamia cdm... SAUT bhana!!
 
Toeni feedback

Taarifa nilizozipata sasahv japo hazijathibitishwa ni kwamba vijana walifika salama, walikwenda pale ofisi za HESLB wakaambiwa kwamba pesa waliituma tangu juzi na wakaoneshwa na documents. Then wakawasiliana na Mussa akawajibu pesa zimeishafika chuoni. Pia kuna taarifa kwamba coaster waliyotumia kuja Dar ilikodishwa na mbunge wao Wenje.
 
Badala ya serikali kuunda bodi kung'oa haya magamba ya bodi yanayokula stahiki za maskini wazi wazi bila aibu na huruma!,eti 2me ya kuchunguza matokeo mabaya kidato cha4!
 
baasi wale mliowakejeli vijana hawa kwa kwenda bodi ya mkopo, na kwaita watalii, mala kwanini hawakutuma wawakilishi habari ni hii wamefika bodi wamesikilizwa na malipo yao ambao ni ya semister nzima ya kwanza na ya mwanzaon semister hii ya pili yamelipwa so vijana sasa wanamzigo wakutosha na safari yao hii imezaa matunda, ila wito kwa ofisi husika tusingoje mpaka makundi yaje ofisini kwetu, ndiyo tusikie vilio vyao, ebu tuwe wawajibikaji, nanyi vijana mliopata huu mkopo tumieni pesa vizuri.
 

Nawapongeza sana vijana, najua waliojitolea niwachache ila imeleta manufaa kwa wengi. Mdogo wangu amenipigia simu kwamba amesaini tangu juzi. Sasa ngoja uone upuuzi mwingine wa huyu Mussa, atachelewa kuweka pesa zao kwenye a/c. Naombeni ikifika ijumaa pesa zenu hazijawekwa, nendeni mumfwate MWANJONDE!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…