Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwongo mwakilishi wao sio Wenje ila chuoni kuna waziri wa mikopona serikali ya wanachuo wale ndo wawakilishi halali Wenje angeenda kama nani?Mwakilishi wao mbunge Wenje si amesema yeye hiyo sio kazi yake. Waache vijana wachakalike wenyewe, mbunge yuko busy na biashara zake.
walishakosea from the beginning kusema awafuatilie kwa vile walimpigia kura,na ile haikuwa na ukweli kuwa wao ndo waliompigia kura,na walishaambiwa hilo embu fuatilia ile thread utaona kuna sehemu hawakuwa sahihi kulingana na comments zilizotolewa,na haina uhakika kuwa aliyeandika kama alikuwa mwanaSAUTUliifuatilia ile thread ya wanafunzi wa SAUT kumuomba mbunge wao awasaidie kwenye hii ishu ya bodi?
mwongo mwakilishi wao sio Wenje ila chuoni kuna waziri wa mikopona serikali ya wanachuo wale ndo wawakilishi halali Wenje angeenda kama nani?
walishakosea from the beginning kusema awafuatilie kwa vile walimpigia kura,na ile haikuwa na ukweli kuwa wao ndo waliompigia kura,na walishaambiwa hilo embu fuatilia ile thread utaona kuna sehemu hawakuwa sahihi kulingana na comments zilizotolewa,na haina uhakika kuwa aliyeandika kama alikuwa mwanaSAUT
sio kila sehemu ni mwakilishi wako! ndo maananikasema ufuatilie kuna thread moja humu ndani kuwa strategy waliotumia sio sahihi! Hivi unajua hawa wengi wao kama sio wote walijiunga lini na SAUT na ilikuwa miezi gani na je kweli walimpigia na kulinda kura kama walivosema?Kwahiyo unaweza kumpigia mtu kura halafu akishakuwa mbunge anakuwa siyo mwakilishi wako?!!!
This is NEWS...
we jamaa mjanja sana wenzako wakiwa hawajafuatilia post za wengine wakiuliza swali huwa unaseama wafuatilie,najua nawe hapo umecomment kuwa this is NEWS kwa sababu kuna sehemu unamiss information inshort hukuifuatilia ile post thread yote so nawe kafuatilie then utajua nini nilimaanisha na si ulivyoconclude wewe.Kwahiyo unaweza kumpigia mtu kura halafu akishakuwa mbunge anakuwa siyo mwakilishi wako?!!!
This is NEWS...
sio kila sehemu ni mwakilishi wako! ndo maananikasema ufuatilie kuna thread moja humu ndani kuwa strategy waliotumia sio sahihi! Hivi unajua hawa wengi wao kama sio wote walijiunga lini na SAUT na ilikuwa miezi gani na je kweli walimpigia na kulinda kura kama walivosema?
watu wote wanaowakejeli hao wanafunzi nina mashaka kuwa hawajapitia huko hivi kabla hujaandika nonsense zako huku fikiria maisha ya ya chuo bila hela then bodi ya mikopo ni hadi uende mwenyewe ndio watakuwa serious otherwise utakaa mwaka mzima bila pesa, acheni kuwa na mawazo mgando kiasi hichohao wamekua na hamu ya kuja kuona jiji tu; wanafunzi 120 wataingia ofisi gani, kwanini wastume uwakilishi kwa ajili ya kuja kuonana na mkurungezi? Na kwanini wacje cku muruha za kazi badala yake wanakuja wikiendi?????
sio kila sehemu ni mwakilishi wako! ndo maananikasema ufuatilie kuna thread moja humu ndani kuwa strategy waliotumia sio sahihi! Hivi unajua hawa wengi wao kama sio wote walijiunga lini na SAUT na ilikuwa miezi gani na je kweli walimpigia na kulinda kura kama walivosema?
Kwahiyo unaweza kumpigia mtu kura halafu akishakuwa mbunge anakuwa siyo mwakilishi wako?!!!
This is NEWS...
kwa hiyo we ukiugua unaenda kwa mbunge! Ukivamiwa unaita MBUNGEEE NIOKOE NIMEVAMIWA.! Akili ya hovyo
Nimekusoma lakini nilichokuwa napinga mimi ni kuwa wanafunzi walimwomba Wenje kwa masharti kuwa walimpigia kura then walisema kuwa walizilinda, wangesema ni just mbunge wao tu ilikuwa inatosha.Hao continuous wanasoma kozi za miaka minne? kama za miaka mitatu natumaini 2010 walikuwa first year na kwa mazingira ya first year na pilika za chuo kujiita walizilinda kura za Wenje kidogo napata wasiwasi,kumbuka pia vyuo vilifungua lini 2010.Mbunge ni wa wote hata ambao hawakumpigia kura, na watoto pia. Na hawa wengi wao walimpigia kura 2010 kwani waliomiss mkopo wote ni CONTINUOUS. Baada ya kuanzisha ile thread Wenje aliwasiliana na mimi, alikodisha coaster likawapeleka wanafunzi kudai fedha zao. Na hivi ninavyoongea nawewe tayari fedha zimeishaingia kwenye a/c zao Tsh 1.5 mil @.