Wanafunzi wa Sekondari Mangamba day wamfanyia umafia mwalimu wao kwa kisa ambacho hakina uthibitisho

Wanafunzi wa Sekondari Mangamba day wamfanyia umafia mwalimu wao kwa kisa ambacho hakina uthibitisho

chala41

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2024
Posts
300
Reaction score
606
Ni ijumaa nyingine tena tukiwa tuna uanza mwezi mpya wa November. ALLAH atujalie kila lililo la


Lessons from the stories

Walimu acheni tamaa za muda mfupi hawa wanafunzi ni kweli wanavutia kwa macho ila jela sio nzuri na mwisho wa siku unapata aibu ww na familia yako

Wivu umehusika hapa huyu mwenye demu wake kaona unyonge kuchukuliwa demu na teacher, lakini bado ana makosa mtoto mdogo unakuwaje na mwanamke ukiwa shule

Watoto wengi wa Kusini Umalaya upo kwenye damu, imagine form 2 anaweza kuwa na mabwana hata wawili na maisha yakasogea vizuri

Kuna mdau nyuma ya pazia aliekuwa anajua mchoro mzima aiwezani kelele za mwanafunzi wasikie wananume tupu tena washikaji tu wanafunzi wengine hawakuwa na masikio.?

Mangamba day ni shule ya ovyo ambayo haina hata uzio wanafunzi wanatembea kama mbuzi usiku ni rahisi kufanya uesherati na walimu au wao kwa wao au hata bodaboda.
 
Ticha wa hovyo kakutana na vijana wa hovyo na kufanyiwa mambo ya hovyo technically uwanja umelala upande fulani
 
Back
Top Bottom