Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Tumechelewa sana kuamua hili.Tatizo sio simu,shida ni self control za wanafunzi wenyewe na kujua umuhimu wa kutumia hizo simu wakiwa shuleni, tusiangalie tu madhara ,kutumia simu pia kuna faida zake vilevile.
Binafsi naona kama kweli simu zikitumika vizuri zinaweza kuleta faida kama ilivyokusudiwa.
Simu kwa wanafunzi wa advance level naona hatari iliyopo ni kutowaruhusu. Sababu zinatumika sana huko mashuleni enzi hizo sisi tunasoma zilikuepo na mpaka sasa bado zipo.Tumechelewa sana kuamua hili.
Humu duniani hakuna kisicho na madhara. Naona nguvu inayotumika kuzuia simu ni kubwa mno kuliko kama ambavyo tungeruhusu zitumike kisha tuangalie namna ya kudhibiti madhara...
noted SirAliyetoa hilo wazo naamini ana agenda yake mbaya na ya siri.. Ama hana akili kabisa...!
Nikiamini kwa dhati ya moyo kinachoomaanishwa hapa ni smartphone na sio hivi viswaswadu ni nani atasimamia management ya matumizi ya hizo simu!? Hapa ni kuongeza matatizo na si kuyatatua..!
Pono umeiacha wap hapo!Duuhh, sipati picha watakavyokuwa busy kuzichaji badala ya kuwa busy kupiga misuli.
Broo East Africa yote ni shida tyuSimu ni adui wa elimu kitu kitu watagoogle
Tatizo hawa wakubwa watoto wao wanasoma mashule ya Ulaya ambapo wanafunzi wanaruhusiwa kutumia simu ivyo wanaweza kutuletea maajenda kama hayo....Haka kamjadala kamenifikirisha sana, Je! waruhusiwe kutumia simu mashuleni?.... naskia mashule ya mafeza boys, mshuke ya st. nani huko wanaruhusiwa kutumia simu ndomana wanafaulu sana ni kweli?
Akili ya wanafunzi wetu + smatphone what the output... sindo diamond atakuwa anaimba darasani
Unaruhu simu mashuleni halafu unataka mitihani ya form4 isivuje π
View attachment 2161182
Nasikia Kenya na Rwanda wanafunzi wanatumia kompyuta mpakato [lap top] shuleni.Broo East Africa yote ni shida tyu
kaka simu ni kitu kingine aiseeTumechelewa sana kuamua hili.
Humu duniani hakuna kisicho na madhara.
Naona nguvu inayotumika kuzuia simu ni kubwa mno kuliko kama ambavyo tungeruhusu zitumike kisha tuangalie namna ya kudhibiti madhara.
Nashangaa ninapoona mwanafunzi anapohitimu kidato cha nne akichaguliwa kuingia kidato Cha tano anaambiwa haruhusiwi kutumia/kumiliki simu wakati mwenzie waliyehitimu pamoja kidato Cha nne aliyechaguliwa kwenda chuo Cha kilimo, mifugo, uhasibu, VETA na kwingineko anaruhusiwa kutumia simu.
Huko nyuma ilizuiwa kuweka redio kwenye magari kwa hofu kuwa madereva watasababisha ajali kwa kusikiliza redio au muziki.
Nakumbuka miaka michache iliyopita, haikuruhusiwa kusogelea benki baada ya saa 12:00 jioni. Leo hali ikoje?
Kwenye familia nyingi wazazi/walezi hatuwapi simu wanetu.
Ajabu ni kuwa tunapotatizika kutumia simu zetu, wao ndio wanatuelekeza tufanyeje.
Wao ndio wanafahamu walikojifunzia namna ya kuzitumia.
Hatuna uwezo wa kuunda dunia yetu.
Wenzetu wanakabilije hali hii?
Uko sahihi kabisa.kaka simu ni kitu kingine aisee
Hilo litafuata baada chaji kujaa, tena watakuwa wanajichimbia shimo(chemba) kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]Pono umeiacha wap hapo!
Nani kawaruhusu kutumia condom?Haka kamjadala kamenifikirisha sana, Je! waruhusiwe kutumia simu mashuleni? Naskia mashule ya mafeza boys, mshuke ya st. nani huko wanaruhusiwa kutumia simu ndomana wanafaulu sana ni kweli?
Akili ya wanafunzi wetu + smatphone what the output, sindo diamond atakuwa anaimba darasani
Unaruhu simu mashuleni halafu unataka mitihani ya form4 isivuje π
View attachment 2161182