Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kupitia mitandao ya kijamii imeenea video inayowaonyesha wanafunzi wa shule ya Msingi Komsala, iliyopo kijiji cha Komsala Kata ya Kwamatiku,, wilaya ya Handeni Mkoani Tanga ambao wamekuwa wakikaa chini huku wachache wakikaa katika madawati.
Sio wanafunzi pekee lakini la hasha katika kufuatilia Jambo TV imegundua kuwa hata walimu nao wanakumbana na kadhia hii. Kwani ofisini kwao pia kuna uhaba mkubwa wa viti.
Ukitazama darasa linaloonekana kwenye video lina madawati mawili tu yakiwa yamekaliwa na wanafunzi wasiopungua 10, huku wanafunzi wengine takribani 30 wakiwa wamekaa chini.