Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,296
- 3,398
4.3 Number of Students to be Granted Loans
In view of limited loanable funds budget, and pursuant to section 7 paragraph (1) of Act No 9 of 2004 (as amended), the Board in 2012/2013 academic year shall issue loans to a limited number of applicants as per allocated budget.
iyo ni mikakati ya wakubwa ili watoto wa maskini wasipate nafasi
Yaan usome kiswahili na historia halafu upewe mkopo??wadau embu tulijadilini hili kwa mapana yake kuanzia mwakani wanafunzi wengi watakaoingia chuo watakosa mkopo regrdless umepata division 2 au 1 isipokuwa kwa wale wa education na baadhi science,kwa hiyo cousrse nyingi za social science na humanities kutopata mkopo ,nikiangalia hali za uchumi za wazazi wetu na jinsi wengi ya wanafunzi walivyokosa mkopo mwaka huu wengi walishindwa kuendelea na masomo hivyo kuishia njiani so sorry kwa victim wote wadau embu tupendekeze nini kifanyike nawasilisha
dogo leo umeongea point kwa mara ya kwanza kabisa, SALUTE YOU, INi kiherehere cha wazazi wetu walioipigia ccm kura na kuirudisha madarakani,otherwise yasingetokea haya.wacha tukomeshwe.
Kwani wewe unadhani mtoto akizaliwa ni wa mzazi peke yake? Mtoto ni wataifa zima na ndo maana ukimzaa ukamuua taifa litakuhukumu. Halafu usisahau kuwa wazazi wanazalisha na kulipa kodi. Kazi ya kodi hiyo ninini na usisahau kuwa kuna raslimali za taifa ambazo umilikiwa na serikali kwa niaba ya wananchi kama madidi, misitu, ardhi, nishati nk.. huko mapato hupatikana kwa wingi ambayo kiasi cha fedha kinachopatikana badala ya kumpa kila mtanzania huwekezwa kwenye huduma za pamoja kama elimu, afya na maji. hivyo ni wajibu wa serikali yoyote iliyo makini kumsomesha raia wakeBora mikopo ifutwe tu maana wazazi wanapozaa, wanategemea nani asomeshe? serikali? kwani serikali pindi wamefunga madirisha yao usiku ilikuwepo?.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Bora mikopo ifutwe tu maana wazazi wanapozaa, wanategemea nani asomeshe? serikali? kwani serikali pindi wamefunga madirisha yao usiku ilikuwepo?.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Bora mikopo ifutwe tu maana wazazi wanapozaa, wanategemea nani asomeshe? serikali? kwani serikali pindi wamefunga madirisha yao usiku ilikuwepo?.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".