Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,296
- 3,398
wadau embu tulijadilini hili kwa mapana yake kuanzia mwakani wanafunzi wengi watakaoingia chuo watakosa mkopo regrdless umepata division 2 au 1 isipokuwa kwa wale wa education na baadhi science,kwa hiyo cousrse nyingi za social science na humanities kutopata mkopo ,nikiangalia hali za uchumi za wazazi wetu na jinsi wengi ya wanafunzi walivyokosa mkopo mwaka huu wengi walishindwa kuendelea na masomo hivyo kuishia njiani so sorry kwa victim wote wadau embu tupendekeze nini kifanyike nawasilisha