Wanafunzi wa St. Mary's International Schools na mapenzi ya jinsia moja

Wanafunzi wa St. Mary's International Schools na mapenzi ya jinsia moja

Status
Not open for further replies.
St. Mary's International Schools ni janga la hatari kwa mustakabali wa vijana wetu. Wazazi kuweni makini hasa wale wa nursery & primary wakagueni sehemu zao za siri mara warudipo kutoka shule.
 
Nchi hii naona viongozi wapo likizo hili linafanyika kwenye nchi yenye waziri wa elimu kweli?

Unajua Uganda walianza hivi hivi hawa jamaa wakawa wanaenda mashuleni kutafuta wanachama wa kujiunga na LESBIAN & GAYS ASSOCIATION hali ilizidi kuwa mbaya kiasi kwamba watoto wakaanza kufunga "NDOA" huko mashuleni na wenzao wa jinsia moja.

Ndo museveni akaona isiwe ishu akatia saini Muswada kuwa SHERIA. Japo mahakama ya huko imeupiga chini lakini hali ndo ilivyokuwa.

Waziri wa Elimu chukua hatua, usisubiri tupate vijana walioiva kwenye mambo hayo.
 
Hii ishu inaweza kuwa kweli, kwani kuna siku moja nilikuwa pale mlango mmoja kwenye windo shoppin yangu wakaja wanafunzi wawili wa St marry's raia wa Uganda....! Mpaka wananunua na kuondoka nlikuwa najua ni wanawake walipoondoka muuzaji akasema hawa ni watoto wa kiume...nlishangaa saana maana muda wote nlikua najua niko na watoto wa kike pembeni yangu! Vicheko vyao, maongezi yao, muonekano wao n.k

Pale st meri kuna bomu sio bure!
 
kama ni kweli serikali iingilie kati ikiwezekana kuifunga shule hii, maana kama shule inazalisha vijana wapenda mapenzi ya jinsia moja ni hatari kwa mustakabali wa familia hata na taifa. maana hivi wanaume wakioana na wanawake wakioana wao kwa wao familia itatokea wapi jamani??
 
jamani mbona hawa vijana hawalitendei haki jina la shule yao (ST. MARY'S), yaani wameishia kufanya uphirauni namna hii. Hakika JEHANAMU inawasubiri kwa hamu kubwa kwa hiki wanachokifanya hapo shule
 
Nahisi mama rwakatare alikufukuza kazi umeamua kumdiss humu. mbona tumepita huko na hizo story zako hsziexist? usitudhalilishe

Kwa kweli huyu mtoa mada analake jambo Mimi nimefundisha pale cjawahi ona wala kusikia hayo jamani Kama huna data usilete uchochezi hapa.nachukia uzushi sana
 
Vijana wanapenda kuiga wacha wachimbane nnya mpaka watoane Divi
 
hakyanani mwanangu ataishia st.kayumba tu ajifunzie maisha huko na sio kwa hao mafilauni...
 
Pole sana.Niseme tena na kwako,tatizo la watu wengi ni wavivu sana wa kusoma.Shule hizo ni za nosameerf(neno lililogeuzwa makusudi),kwa hiyo hiyo ni agenda yao moja wapo.Mkakati pia wa shule za bweni nyingi zinazopokea watoto wadodo ndio huo, pamoja na kuharibu maadili mengine ya watoto kwa ujumla.Fungua macho uone,umeyafumba, ingawa unadhani unaona!
 
Pole sana.Niseme tena na kwako,tatizo la watu wengi ni wavivu sana wa kusoma.Shule hizo ni za nosameerf(neno lililogeuzwa makusudi),kwa hiyo hiyo ni agenda yao moja wapo.Mkakati pia wa shule za bweni nyingi zinazopokea watoto wadodo ndio huo, pamoja na kuharibu maadili mengine ya watoto kwa ujumla.Fungua macho uone,umeyafumba, ingawa unadhani unaona!

Mkuu wewe ndio umebwaga manyanga yao yote hadharani, tena yule mama ni mnafiki sana filauni yule! Ukitazama mpaka redio yake ,wachungaji wanaohudumu kupitia hiyo, mpaka shule zake zote utaelewa kuwa kuna spirit inatokea juu ,unapomkabidhi mwanao ujue umemkabidhi kwenye spirit hiyo inayotoka kwa huyo mama, nashukuru kuwa wadau mmeyaona hayo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom