Wanafunzi wa Turkana wapata ajali Baringo

Wanafunzi wa Turkana wapata ajali Baringo

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
RIP turkana students who a were traveling back to turkana from Regional term 2B games in kabarnet using AGC LOKICHAR SCHOOL BUS. quick recovery for those that escaped with injuries. So sad.

Basi la AGC Lokichar lapata ajali,wanafunzi wakitoka michezoni Baringo.Inahofiwa kuwa wanafunzi wapatao kumi wamefariki dunia.
b1606a0fc62e7cae1d065ce0f6d591ed.jpg
 
Daahhh!!

Bado hatujasahua la Lucky Vicent nyingine tena imetokea.
Mungu wapokee waja wako uwape makazi salama ya kudumu
 
Kwa niaba ya MAGUFULI na watanzania wenzangu nawapa pole ndugu zetu wakenya.
Najua rais yuko na shughuli nyingi kuatend hii habari ya kusikitisha.
Wapumzike kwa amani watoto wetu, na waliosalimika Mungu awape uponyaji wa haraka.
 
Er... What?! ya Lucky Vincent yamehamia Turkana? Poleni Wakenya...
 
poleni sana majirani.ajari haingalii flyovers wala superhighways.
 
Back
Top Bottom