Wanafunzi wa udaktari mwaka wa tano wafukuzwa chuo Muhimbili

Wanafunzi wa udaktari mwaka wa tano wafukuzwa chuo Muhimbili

Tanzania siasa imewekwa katika kila kitu,ndiyo maana maendeleo ya kweli yatachukua muda sana!Kuna wakati nawish tungekuwa na serikali ya kikomunist kama ya china iliyojaa wazalendo na kuwajibishana ili watu wapoteze muda wao mwingi kwenye kujenga nchi na kuachana na siasa.
 
the.ulimboka.S01E18.HDTV download this torrent
 
CCM imepotea njia, dira na uelekeo, totally lost

Wanaokwenda kusoma wakajiingiza kwenye siasa wasingoje wamalize masomo yao, hao hawajapotea njia? sasa wapelekwe Ujerumani kwa wafadhili wakuu wakasomeshwe, simpo.
 
Back
Top Bottom