Tanzania siasa imewekwa katika kila kitu,ndiyo maana maendeleo ya kweli yatachukua muda sana!Kuna wakati nawish tungekuwa na serikali ya kikomunist kama ya china iliyojaa wazalendo na kuwajibishana ili watu wapoteze muda wao mwingi kwenye kujenga nchi na kuachana na siasa.