Wanafunzi wa University na ulimbukeni wa Dar

Sogea hapo Kitunda afu useme SUUU wakati unemendea mayai na kuku wao.... Kama hutatairiwa na panga butu mchana kweupe.
kitunda ziko mbili unalijua hilo
 
wewe ***** wa kigalatia uje kufanya nini Dar mji wa kobaz, baki huko huko maporini uendelee kufirw@ na wachunga ng'ombe
Duuh
Ulitubu wewe.
Haya matusi ya nini ustadh?
 
Ni km wasukuma na Mwanza, kila msukuma ukimwuliza atakuambia ametoka Mwanza, wasukuma ni washamba jamani! Unakuta ametokea Mwanhuzi, Bariadi, Lagangabilili, Mhunze, Kolandoto, Maswa, Lalago, Sengerema, Ushirombo lakini atakuambia ametoka Mwanza, Bwiru hapana!
 
Sasa na wewe sio mzaliwa wa Dar unawezaje kuwacheka wenzio wasiotaka kurudi Dar ikiwa na wewe hautaki kutoka Dar vile vile mkuu?

Nafikiri una tatizo mahali.
understand the scenario
 
kwanza jiji enyewe kwanza ni lichafu
Ni chafu na linanuka....Ningepata nafasi ya kuwa kiongozi jambo la kwanza ingekuwa kuweka majiji yote kwenye hali ya usafi ,kuweka jiji kuwa safi ni swala dogo sana ,ni kuweka sheria kali tu watu watanyooka ,unaanzia ngazi ya mtaa ,mtu akikutwa mazingira yanayomzunguka machafu faini ni laki 5 au miezi 6 jela na pia lazima wawe na mapipa ya kuweka taka ,hakuna kuchimba shimo wala kutupa jalala la mtaa.
 
Umechelewa kulijua hilo mkuu. Mtu akiingia Dar ni wa Dar ila akienda mkoani sio wa mkoani, ametokea Dar. Hilo jiji ni la kila mtu
 
wapi nimemuamlia?
Ukishamnyanyapaa mtu kwa kumuita limbukeni na kumchagulia kwao, kwamba hapa si kwao, kwao ni kule, umemuamulia kwao.

Hapo wewe ndiye limbukeni usiyejua haki ya mtu kuamua kwao kuwe wapi.

Yani kumuita mtu limbukeni kwa sababu yeye kachagua kwao kuwe wapi ndiyo ulimbukeni wenyewe.
 
Wanafunzi wa university za wapi?
 
Mkoa wa DSM una wakazi zaidi ya milioni 8, kwahiyo iwapo mwanafunzi akisema abaki kwaajili ya kupiga mishe zake, anauwezo wa kupata customer base nzuri kuliko mwanafunzi atakayekwenda Mkoa kama Katavi wenye wakazi milioni 1 plus

Kingine kama ni field, DSM pekee ina makampuni zaidi ya laki 5 na ushee ambazo zinaweza kuwa na fursa nzuri ya ajira kwa hao vijana
 
kwani ni uongo wewe umesomea wapi university sio kila kitu ni kuingilia mtu mambo mengine yako wazi.
 
uko nje ya mada, elewa mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…