Wanafunzi wa University na ulimbukeni wa Dar

Dada ni kama wamekukwaza sana ragiki zako wao wamebaki wewe umelazimika uende kwenu Mbwinde. Unamchagulia mtu kwao? Nawe tafuta bwana ubaki dar mi ningekuwa Dar ningekuoa kwa kipindi hiki kifupi nawe ubaki kama wenzio.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kwani ni uongo wewe umesomea wapi university sio kila kitu ni kuingilia mtu mambo mengine yako wazi.
Wewe ni limbukeni ndiyo maana huwezi kuelewa umuhimu wa uhuru wa mtu binafsi kuamua kwao ni wapi.

Kama huelewi hilo jambo rahisi tu, wewe ni limbukeni.

Halafu wewe ni mjinga, unasema "sio kila kitu ni kuingilia mtu" wakati umemuingilia mtu katika uhuru wake binafsi wa kuamua kwao ni wapi.

Hii ni dalili ya kukosa elimu kutoelewa vitu kama Bantu migration, watu walivyohamahama mara nyingi duniani, kutoelewa the population of the earth and how it got to be distributed the way it is, how the Americas were peopled, how rural urban migration shaped African cities, how the African diaspora was formed.

Una dalili zote za ulimbukeni na kukosa elimu ya msingi tu.

Yani bado unaishi kwenye dunia ya kuwapanga watu kwa makabila na kusema nyie kwenu kule, huku si kwenu.

Ujinga mtupu.
 
Wana beti hao. Kutwa kuchat mikeka tuuu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wanawake huwa mnaoneana wivu sana labda kama mwanamke awe amesoma na amejipata haoni sababu ya kufuatilia wenzie. Huyu dada mwenye uzi anaumia wenzake likizo wakibaki Dar na yeye akienda Mbwinde huko ndani ndani.
 
Wanawake huwa mnaoneana wivu sana labda kama mwanamke awe amesoma na amejipata haoni sababu ya kufuatilia wenzie. Huyu dada mwenye uzi anaumia wenzake likizo wakibaki Dar na yeye akienda Mbwinde huko ndani ndani.
PUNGUZA UJINGA NA UFALA SAWA MIMI SIO DADA NA HAKUNA SEHEMU NILIYOKUTUSI MBONA UNAFOSI KUNIITA DADA NI KUTAFUTA TU JAZIBA NA HII DIS TRACK YAKO IMEBUMA.


USHAONA **** KWENYE MWILI WANGU AU NIWEKE PICHA HAPA ACHA KUPUMLIWA KUPITA KIASI KUNAKUCHANGANYA SANA NI AJABU KUFIKIA HATUA YA KUMWITA MWANAMME DADA UKIDHANI UNATWEZWA MTU UMEKOMAA SANA KAMA UNALIPWA AU UNAGONGWA NYUMA UNAJARIBU KUNIDISI NA MIMI NIKUGONGE NYUMA MIMI SIO ***** KAMA WEWE SINA MICHEZO MICHAFU KAMA YENU.

USHARIBIWA TANGU MADRASA KUTWA KUHISI KILA MTU ANA TABIA CHAFU KAMA ZAKO.
 

WEWE NI MDADA AU *****. HAKUNA MWANAUME ATAONEA WIVU WANAWAKE KWA KUBAKI DAR. HAKUNA. YBWYB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…