Wanafunzi wa vyuo vikuu mkue jamani acheni utoto!!!

Zama hizi kila mwanafunzi wa university level anatakiwa awe na computer/internet access. That means either awe na laptop or desktop. Sasa kama ni ya kukodisha, ya kujinunulia mwenyewe ama kupewa ama ya kushare kule lab etc. hiyo sijui.
Lakini all in all kila mwanafunzi wa level ya varsity LAZIMA awe na computer/internet access.
Zama za huko nyuma ilikuwa sawa tu hata kama huna computer/internet lakini miaka hii ni more than lazima. Otherwise ndio yaleeee ya miaka ile tunamaliza B.COM pale mlimani tunaenda kuwa accountants at the same time hatujui Excel Spreadsheets. Ndio yalitukuta in the 1990's. What a shame????????????????
Time has changed people..
 
Mmmh! Laptops tena? Mbona wabongo wabinafsi hivyo. Kwa nini wasilalamikie kitu kingine kwa manufaa ya wengi? Waalimu shule za misingi na sekondari hakuna, vitendeakazi hakuna na kama vipo basi hafifu na havitoshelezi. Matangazo ya HakiElimu yawakuze basi, Laptops...laptops!!! Mnunue mkianza kazi.

Amakweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa.

Ndio wadanganyika walipofikia. No commonsense na kila mtu anatazama maslahi yake kwanza, halafu anakaa kitako eti akitarajia mambo yatakwenda. Mtu anakuwa mbinafsi na kusifia ubinafsi ila anapotokea mtu mwengine mbinafsi kuliko yeye anaanza kulalama.
 
Zama hizi kila mwanafunzi wa university level anatakiwa awe na computer/internet access. That means either awe na laptop or desktop. Sasa kama ni ya kukodisha, ya kujinunulia mwenyewe ama kupewa ama ya kushare kule lab etc. hiyo sijui.
Lakini all in all kila mwanafunzi wa level ya varsity LAZIMA awe na computer/internet access.
Zama za huko nyuma ilikuwa sawa tu hata kama huna computer/internet lakini miaka hii ni more than lazima. Otherwise ndio yaleeee ya miaka ile tunamaliza B.COM pale mlimani tunaenda kuwa accountants at the same time hatujui Excel Spreadsheets. Ndio yalitukuta in the 1990's. What a shame????????????????
Time has changed people..

I coundn't agree more with you VVZ
 
Nendeni mkadai computer laboratories za kutosha kama vyuo vingine walizonazo. Hakuna computer zitakazotolewa kwa kila mmoja. Will be ok kama labs zitakuwa na PC za kutosha kwa kila student kwa kipindi au muda wa kujisomea.

washirikisheni wazazi wenu kuwanunulia, kodi hazitoshi
 
akuna serikali isiyo na matatizo na pengine kwa afrika mashariki tanzania inaongoza kila sekta
kwa upande wa elimu bomu kubwa limeangukiwa wizara hii pale walipopewa bomu lililoishinda wizara ya miundo mbinu na saasa limeamia elimu

ok nije kwenye mada hapo juu..ndugu wapendwa ni kweli waweza kusema chuo kimevamiwa na watoto walio na umri mdogo sana ndio maana hata humu jf wanamizaha kupita uko nyuma

embu jiulize wanataka nauli ipunguzwe iwe 250

kule dom wanataka kila mwanafunzi awe na laptop

wapi utapata hili ndugu zanguni kuweni makini na migomo ya kijinga muulizen zito awape njia za migomo kudai haki zenu mpaka

waziri mkuu mwenyewe aliwahaidi... Kama hawezi si angesema tuu kuliko kuahidi kama yupo katavi kule kwa wakata majani... Pale ni chuo siasa baadae... Heko udom students

kama hutaki jiue...
 
Wewe mtoa mada kama umesoma ungwini bora ukae kimya......je, utasoma programming bila computer?? Kwa nchi kama India chuo kina dhamini wanafunzi mikopo ya laptops kupitia mabenki na wanafunzi wanalipa kidogo kidogo mpaka wana maliza masomo.

Tatizo la wazee wa Tanzania wana endekeza siasa na wanafikiri hata nchi zingine zimeendelea kwa kupiga porojo. Lakini ukweli ni kwamba hilo halipo. Nawashauri viongozi wa Tanzania kwamba wasipo jali sayansi wenyewe wasifikiri kuna nchi kutoka ng'ambo itakuja kutufundishia vijana wetu bure mpaka waweze ku-design vifaa vya kisayansi.

wananchi hatuwaelewi, bodi ya mikopo vp?
 
akuna serikali isiyo na matatizo na pengine kwa afrika mashariki tanzania inaongoza kila sekta
kwa upande wa elimu bomu kubwa limeangukiwa wizara hii pale walipopewa bomu lililoishinda wizara ya miundo mbinu na saasa limeamia elimu

Ok nije kwenye mada hapo juu..ndugu wapendwa ni kweli waweza kusema chuo kimevamiwa na watoto walio na umri mdogo sana ndio maana hata humu jf wanamizaha kupita uko nyuma

embu jiulize wanataka nauli ipunguzwe iwe 250

kule dom wanataka kila mwanafunzi awe na laptop

wapi utapata hili ndugu zanguni kuweni makini na migomo ya kijinga muulizen zito awape njia za migomo kudai haki zenu mpaka

Naona Pdidy umefilisika kimawazo kwa kweli, manake upeo wako wa kuyaona mambo ni sawa kabisa na mtoto wa darasa la pili. Hata hao unaowaita watoto kule UDOM wanafikiri mbali sana kuliko wewe. Suala la laptop kwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu ni jambo la kawaida sana. Hebu tazama nchi jirani ya Rwanda wanafunzi had wa shule ya msingi wanapata laptop bure. Hata kwa Tanzania hilo linawezekana. Achana na mawazo mgando, amka sasa.
 
Ni vema sasa hata wananchi baki wameanza kuwastukia hawa 'wasomi' wetu. Inaonekana siku hizi vyuo vyetu vina-enroll makundi ya wahuni badala ya scholars. Kha!

Kweli tupu... wanahitaji laptop ili wajiunge FACEBOOK.... KICHEKESHO.... Ivi hawa ndio wasomi wakwanza eehhhh... Yaaani wapuuzi kweli
 
waziri mkuu mwenyewe aliwahaidi... Kama hawezi si angesema tuu kuliko kuahidi kama yupo katavi kule kwa wakata majani... Pale ni chuo siasa baadae... Heko udom students

kama hutaki jiue...

Naona Pdidy umefilisika kimawazo kwa kweli, manake upeo wako wa kuyaona mambo ni sawa kabisa na mtoto wa darasa la pili. Hata hao unaowaita watoto kule UDOM wanafikiri mbali sana kuliko wewe. Suala la laptop kwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu ni jambo la kawaida sana. Hebu tazama nchi jirani ya Rwanda wanafunzi had wa shule ya msingi wanapata laptop bure. Hata kwa Tanzania hilo linawezekana. Achana na mawazo mgando, amka sasa.
Nadhani mnapaswa kujenga hoja ili mueleweke na si kumlaumu aliyeleta mada hii. Ahadi nyingine, mnatakiwa kuchanganya akili za kusikia na za kwenu.
Na siku mkifika kwenye real life baada ya kuuvua huo uanafunzi na mkapata nafasi ya kuwa policy makers au hata ya kukaa vijiweni kidogo kabla ya kupata kazi mnaweza mkatafari vyema maneno yenu.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Zama hizi kila mwanafunzi wa university level anatakiwa awe na computer/internet access. That means either awe na laptop or desktop. Sasa kama ni ya kukodisha, ya kujinunulia mwenyewe ama kupewa ama ya kushare kule lab etc. hiyo sijui.
Lakini all in all kila mwanafunzi wa level ya varsity LAZIMA awe na computer/internet access.
Zama za huko nyuma ilikuwa sawa tu hata kama huna computer/internet lakini miaka hii ni more than lazima. Otherwise ndio yaleeee ya miaka ile tunamaliza B.COM pale mlimani tunaenda kuwa accountants at the same time hatujui Excel Spreadsheets. Ndio yalitukuta in the 1990's. What a shame????????????????
Time has changed people..

Ni kweli kabisa
 
Hata sisi tulisoma vilevile na tukasoma hizo programming lakini hatukununua wala kumdai mtu laptop. Tuliendaga Kariakoo kule tukanunua PC used tukaipiga mtungo na TUKAFAULU VILEVILE..wanafunzi wa siku wana mizaha sana aisee..lol

Angalia hizo fedha zao wanavyotumia kwa vitu vya ajabu, halafu wakimiliki hizo laptop nenda ukague uone upuuzi walioujaza humo ndani.
 
Kweli tupu... wanahitaji laptop ili wajiunge FACEBOOK.... KICHEKESHO.... Ivi hawa ndio wasomi wakwanza eehhhh... Yaaani wapuuzi kweli
Taib. Wanataka laptop wapewe ili wajimegee wifi ya chuo bure bila productivity yeyote. Whats next sasa watataka mkopo wa IPAD2 lolz
 
Angalia hizo fedha zao wanavyotumia kwa vitu vya ajabu, halafu wakimiliki hizo laptop nenda ukague uone upuuzi walioujaza humo ndani.
Kabisa mdau. Cha msingi chuo kipewe mshiko kiimarishe maabara zake na library services. Huko ndiko watu watajijenga kama scholars. Pia hii bodi ya mikopo nayo naona haijajipanga kisayansi kukabiliana na changamoto za sasa. Kama imeshindwa kazi basi hii mikopo ni vema iwekewe utaratibu ili itolewe na benki za umma moja kwa moja na kuhakikisha ulipaji wake.
 
Nadhani mnapaswa kujenga hoja ili mueleweke na si kumlaumu aliyeleta mada hii. Ahadi nyingine, mnatakiwa kuchanganya akili za kusikia na za kwenu.
Na siku mkifika kwenye real life baada ya kuuvua huo uanafunzi na mkapata nafasi ya kuwa policy makers au hata ya kukaa vijiweni kidogo kabla ya kupata kazi mnaweza mkatafari vyema maneno yenu.

Wenyewe wanajiita Great Thinkers. Ole wako uwakosoe utaambualia matusi. Ndiyo hawa wanaopost hapa JF kila kinachopita vichwani mwao. Wanatumia muda mwingi kujibu kila hoja as long as imemshambulia Mzee wangu Dr Slaa bila kujali aliyepost ni Malaria Sugu au GeniusBrain. Wasomi wa Tanzania bwana, Bongo Fleva kila sehemu.
 
Mimi nadhani kila mwanafunzi kuwa na laptop yake ni vizuri kwa sababu anayeitumia ni yeye mwenyewe na ana uhuru wa kuitumia muda wowote atakao bila limitation yeyote ile! Fkiria,kama ndo hizi comp.lab lets say ndani ya chuo,hivi kama mwanafunzi anahitaji kujisomea mid-nights,say sa8, hiyo maabara itakuwa wazi? Tukiachana na hayo,mf.mzuri ninao mwenyewe,chuo kikuu flani chenye jina kubwa tu hapa tz, imagine lab ni moja tu na ina comp. 50,na kati ya hizo,30 ni mbovu! Itakidhi vp matakwa ya wanafunzi zaidi ya elf3? Kila mtu anataka afanye assignment,wengine wanaandika research paper,yani fujo tupu! So,suala la kila mwanafunzi kuwa na laptop yake ni la msingi!
 
akuna serikali isiyo na matatizo na pengine kwa afrika mashariki tanzania inaongoza kila sekta
kwa upande wa elimu bomu kubwa limeangukiwa wizara hii pale walipopewa bomu lililoishinda wizara ya miundo mbinu na saasa limeamia elimu

Ok nije kwenye mada hapo juu..ndugu wapendwa ni kweli waweza kusema chuo kimevamiwa na watoto walio na umri mdogo sana ndio maana hata humu jf wanamizaha kupita uko nyuma

embu jiulize wanataka nauli ipunguzwe iwe 250

kule dom wanataka kila mwanafunzi awe na laptop

wapi utapata hili ndugu zanguni kuweni makini na migomo ya kijinga muulizen zito awape njia za migomo kudai haki zenu mpaka

wewe ndio mtoto kweli wakati wenzio warun we unatamba. Hujui ndo maana unaprovocal tu. Remember our country is sold at a cheap price.
 
Mimi nadhani kila mwanafunzi kuwa na laptop yake ni vizuri kwa sababu anayeitumia ni yeye mwenyewe na ana uhuru wa kuitumia muda wowote atakao bila limitation yeyote ile! Fkiria,kama ndo hizi comp.lab lets say ndani ya chuo,hivi kama mwanafunzi anahitaji kujisomea mid-nights,say sa8, hiyo maabara itakuwa wazi? Tukiachana na hayo,mf.mzuri ninao mwenyewe,chuo kikuu flani chenye jina kubwa tu hapa tz, imagine lab ni moja tu na ina comp. 50,na kati ya hizo,30 ni mbovu! Itakidhi vp matakwa ya wanafunzi zaidi ya elf3? Kila mtu anataka afanye assignment,wengine wanaandika research paper,yani fujo tupu! So,suala la kila mwanafunzi kuwa na laptop yake ni la msingi!
Nadhani unatakiwa usome comments zote hapa kabla ya kurukia kuandika. Watu wamesema library services (ikiwezekana 24 hrs) na computer lab ziboreshwe ndio suluhisho. Unaogopa nini kutaja UDSM maana wao ndio wanamatatizo kwenye comp lab zao. Kwahiyo hoja hapa si mwanafunzi atatumiaje hizo laptop bali ni je wanastahili kupewa hizo laptops? Kuna hoja pia hapo juu kwamba, ikiwezekanq ziwepo na laptop za kuazimishwa. Mkiwa mnaandika hoja zenu muwe mnaweka ubinafsi pembeni na kuzingatia maslahi ya nchi nzima na vipaumbele kwa Taifa.
 
pdiddy,mbona hueleweki na huna uhakika na usemacho ndio maana suala la UDOM unasema eti ulisikia!!!hakuna mwanachuo anayeingia barabarani bila sababu,UDOM waligomea special faculty requirements ambazo wanadhurumiwa/hawapewi kabisa na wakipewa hizo hela wananunua laptops ambazo kwa masomo yao lazima uwe nayo.Ila uongozi kama kujivua gamba wanasema eti waligomea laptops

unajua wabongo tunapewa wrong infos na tunameza bila kumeng'enya..we umeona wap mwanafunz wa IT au compt sci/engineering asome hyo kozi hata computer hana? wap mazoez? udom ni sawa kugoma kwa special fac reqs.
 
<br />
<br />
wapi huko wanafunzi wa IT wa uni wanapewa computer km spec facul requi. Hivi comp ni special kwa wanafunzi fulani tu. Comp ni basic kwa kila mwanafunzi. Na hakuna anayesema comp haina umuhim kwa wanafunzi, bali tunasema kugawa laptops si endelevu kwa hali ya Taifa. Tunashauri muwekewe vifaa chuo viwe kwa mass consumption mkiondoka na wengine wavikute. Yaani ni km viti au vitanda mtumie nyie na wengineo.
 
Hahahah..hii thread imenifurahisha sana. Vijana wanataka laptop wakati wadogo zao hata madawati hawana? Jamani msifikiri kwamba hatujui umuhimu wa Laptop. Tunaelewa sana kwamba ni kitendea kazi muhimu sana. Lakini hebu kuweni realistic kidogo. Kwa mnavyoiona serikali ya JK..can it afford laptop za wanafunzi wa vyuo (hata mafisadi wote wakirudisha chetu na kuepelekwa jela?)??? By the way wanafunzi siyo nyinyi tu..ikiamua kununua lazima iwanunulie/wakopeshe hata vyuo vingine. Ni mzigo mkubwa sana na I must admit kwa serikali tuliyonayo..nyinyi mnataka ugomvi tuu na mkuu wa kaya. Jitahidi kuwa strategic katika madai yenu. Nakumbuka mlimani tuligomea bumu miaka hiyo..tukaongezewa mia tano..ikawa 2500. Ila moto wake sitausahau...maana nilifukuzwa chuo na Mjini Dar sikuwa na ndugu..duh.. I will never forget that....ndo maana mimi mtu akiniambia eti anagoma..well...I wish him luck. Otherwise, nenda kariakoo..tafuta used computer...(umeme upo-haulipi bill)..jikunje....na fanya hizo programming...... Tatizo vijana wetu mkienda mjini mkapita steers au Mlimani city mnaona watu wanakunywa bia na laptop pembeni mnadhani hayo ndo maisha......Poleni.
 
Back
Top Bottom