wanafunzi wa vyuo vikuu (wanawake)

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,690
Nimekuwa nikisikilza kimasomaso BBC kuwa lecturers wa vyuo huwataka kimapenzi mabinti wasomao vyuoni na kama wakikataa wanawafelisha . Pia kuna kina dada ambao hujilengesha moja kwa moja kwa lectures ili kuwapata kimapenzi wawezeshwe kufaulu mitihani yao.
Imeniuma sana na kuona wakina dada wanadhalilishwa na kujidhalilisha katika hili
Je Wadau mnasemaje kuhusu hili?
 
Nyie kwa kulalamika,loh. Kila m2 anakula kwa urefu wa kamba yake. Waache wale kukuz.... mbona sekondar matcha wanalamba madent, ni k2 cha kawaida!
 
Nyie kwa kulalamika,loh. Kila m2 anakula kwa urefu wa kamba yake. Waache wale kukuz.... mbona sekondar matcha wanalamba madent, ni k2 cha kawaida!

Sio kulalamika ni kudhalilishwa/kujidhalilisha
Kama ni kula kwa urefu wa kamba basi mkeo atamuhonga shetani asiingie motoni
Pia si kitu cha kawaida:A S-alert1: kwa maana wenyewe wamekiri ni vibaya
 
Wanawake ni viumbe dhaifu na ndio maana wanahitaji empowerment.most of the empowerment steps huwa zina-involve udhalilishaji tu
 
Wanawake ni viumbe dhaifu na ndio maana wanahitaji empowerment.most of the empowerment steps huwa zina-involve udhalilishaji tu

Ni kweli mkuu
Hata nilipokuwa nasikiliza , most of their comments were based on kudhalilishwa
Sasa na mshangaa huyo jamaa anayesema anakula kwa urefu wa kamba "wapi na wapi?"
Wewe dada yako au mama yako akienda chuo afanyiwe hivyo "utasema anakula kwa urefu wa kamba yake" Tuwe na majibu yenye msingi bana:A S-alert1:
 
subhana llah so sad wallah!!! sasa niulize government ya tz inaongozwa kimaadili yote mawili cristian and islam au haina hata moja mana mambo yasingekuwa namna hii mimi huku niliko sikuwahi kuskia mambo kama hayo wallah kwanza beside waalimu wote wa unii ni wazee sasa jamani si kunanihi huku,,,,,,,,,,????
 
Una bahati wewe! Ungekuwa huku ningetafuta chuo hicho wasomea afu ungefeli tu ka hutaki kunanihii. Maana hao wazee hutaka embe bichi.
 
Lakini hao kina dada si ni watu wazima? Sasa kaa mtu anajilengesha mwenyewe hilo ni juu yake. Sasa kama kuna walimu ambao hutaka kupewa ngono ili watoe maksi nzuri hao ni wavunjaji wa miiko ya kazi zao na wanapaswa kuadhibiwa.
 
Haswaaaa ila watendewa huona aibu kusema wazi wazi sijui wanaogopa nini?
 
Hata kujipeleka mwenyewe na mwalimu akaku ninihiniya tayari ni kosa la kimaadili katika nchi za nje.

Mwalimu lazima awe na mipaka na nini anafanya na wanafunzi wake hata kama watu wazima
 
wallah,,,,that's 4really i wonder when i saw dis news kwanza how comes mwalimu na mwanafunzi subhana llah,,
Hata kujipeleka mwenyewe na mwalimu akaku ninihiniya tayari ni kosa la kimaadili katika nchi za nje.

Mwalimu lazima awe na mipaka na nini anafanya na wanafunzi wake hata kama watu wazima
 
Kwa upande wangu nadhani mambo ya kufelishwa eti umemkataa lecturer? inaweza kuwepo lakini kwa wanawake ambao hawana msimamo, wewe kama umefanya kazi yako vizuri na majibu ni yenyewe atakufelishaje? vyombo vya kutetea wanafunzi si vipo? Labda na wewe ukiwa na hako ka roho ka uzinzi utafanya, lakini kama kweli unauchukia uzinzi mie nadhani haki itatendeka hata Mungu atakuwa upande wako.
Kwa wale wanaojilengesha na wenyewe wapo wanaotaka vitu vya mtelemko, na hii tabia inaendelea hata huko makazini watu kama hao wapo katika jamii zetu. Kwake kutoa rushwa ya ngono haoni tatizo kabisa. Kama dada atakuwa na msimamo thabiti hakika hawezi kufelishwa kabisa!! Kwani huyo lecturer naye haogopi kufukuzwa kazi?
 
Ukistaajabu ya Eeka mangi utayaona Nilhad Rashed. We njoo tu bana ntakusamehe. Babu huwa anawapenda wajukuu zake ati!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…