Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,690
Nimekuwa nikisikilza kimasomaso BBC kuwa lecturers wa vyuo huwataka kimapenzi mabinti wasomao vyuoni na kama wakikataa wanawafelisha . Pia kuna kina dada ambao hujilengesha moja kwa moja kwa lectures ili kuwapata kimapenzi wawezeshwe kufaulu mitihani yao.
Imeniuma sana na kuona wakina dada wanadhalilishwa na kujidhalilisha katika hili
Je Wadau mnasemaje kuhusu hili?
Imeniuma sana na kuona wakina dada wanadhalilishwa na kujidhalilisha katika hili
Je Wadau mnasemaje kuhusu hili?