wazo zuri ila kama wadau wengi alivyosema ni ngumu sana kwa mtu asiye na kitu kwemda kujitolea. cha kwanza ni kuwa na uhakika na mkate wa kila siku hapo hata dhamira ya kujitolea kama ipo itakuwa hai.
kulipa deni si kazi, ni makubaliano na kiwango wnachokata si kikubwa, mimi nakatwa sh 12,800 kila mwezi na kwa utaratibu huo nitamaliza deni langu baada ya miaka 7 au 8 ijayo. kila aliye na kibarua akilipa nadhani inaweza saidia kama kuna utaratibu mzuri basi wanaosoma itawasaidia kupunguza usumbufu