Fugwe
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 1,676
- 663
Mbona ni wazo zuri, sasa how to implent ndio mgogoro unapoanzia. Pengine ni seme hivi, kujitolea kunategemeana na hali ya kiuchumi mtu aliyonayo. Kama mfukoni sina kabisa cent, nyumbani sijui watakula nini, watoto wataendaje shule, sio rahisi kwenda kufanya kazi isiyo na malipo. huo muda wa ku-volunteer itabidi niutumie kutafuta chochote ili nizibe mapengo yaliyopo kwangu. Nadhani wengi hawapendi kujitolea kutokana na hali za kiuchumi walizonazo