M musa simba New Member Joined Jul 20, 2011 Posts 1 Reaction score 0 Aug 20, 2011 #1 Jamani naomba mnisaidie hiyo orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo coz sijaiona kwenye tovuti ya tcu!
Jamani naomba mnisaidie hiyo orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo coz sijaiona kwenye tovuti ya tcu!
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,697 Reaction score 15,497 Aug 20, 2011 #2 Tuliza ball kijana,jaribu kuwa unasikiliza kwa makini!Orodha ya wanafunzi haijatolewa,kilichotolewa ni "statistics"tu. Orodha unayoitaka ww itatoka baada ya wiki 2!
Tuliza ball kijana,jaribu kuwa unasikiliza kwa makini!Orodha ya wanafunzi haijatolewa,kilichotolewa ni "statistics"tu. Orodha unayoitaka ww itatoka baada ya wiki 2!
pmwasyoke JF-Expert Member Joined May 27, 2010 Posts 4,760 Reaction score 3,324 Aug 20, 2011 #3 Orodha hiyo yawezekana ikatoka baada ya vyuo kufunguliwa.
P podius Member Joined Sep 1, 2011 Posts 9 Reaction score 0 Sep 1, 2011 #4 Bado bado tulia kidogo mambo ndo yanapakuliwa yako mezani maji ya kunawa ndo yanaletwa .ok?
Apollo JF-Expert Member Joined May 26, 2011 Posts 4,920 Reaction score 3,240 Sep 1, 2011 #5 mimi nimeangalia mkopo nimepewa UDSM BAA nimeangalia ktk vyuo vingine nivyoomba jina langu halipo lipo UDSM tu. So najua hapo ndipo nilipopangwa. Tuangalie ktk web ya mikopo tcu watachelewesha.
mimi nimeangalia mkopo nimepewa UDSM BAA nimeangalia ktk vyuo vingine nivyoomba jina langu halipo lipo UDSM tu. So najua hapo ndipo nilipopangwa. Tuangalie ktk web ya mikopo tcu watachelewesha.
G Gugo New Member Joined Jul 25, 2011 Posts 1 Reaction score 0 Sep 6, 2011 #6 jaman mbona m sielewi orodha imetoka au bado?
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Sep 6, 2011 #7 Gugo said: jaman mbona m sielewi orodha imetoka au bado? Click to expand... <br /> <br /> we uko ulimwengu gani mkuu?
Gugo said: jaman mbona m sielewi orodha imetoka au bado? Click to expand... <br /> <br /> we uko ulimwengu gani mkuu?