wanafunzi waliochaguliwa na tcu 2011/2012

wanafunzi waliochaguliwa na tcu 2011/2012

musa simba

New Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
1
Reaction score
0
Jamani naomba mnisaidie hiyo orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo coz sijaiona kwenye tovuti ya tcu!
 
Tuliza ball kijana,jaribu kuwa unasikiliza kwa makini!Orodha ya wanafunzi haijatolewa,kilichotolewa ni "statistics"tu.
Orodha unayoitaka ww
itatoka baada ya wiki 2!
 
Orodha hiyo yawezekana ikatoka baada ya vyuo kufunguliwa.
 
Bado bado tulia kidogo mambo ndo yanapakuliwa yako mezani maji ya kunawa ndo yanaletwa .ok?
 
mimi nimeangalia mkopo nimepewa UDSM BAA nimeangalia ktk vyuo vingine nivyoomba jina langu halipo lipo UDSM tu. So najua hapo ndipo nilipopangwa. Tuangalie ktk web ya mikopo tcu watachelewesha.
 
Back
Top Bottom