Wanafunzi waliofeli wajipanga kudai fedha zao

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Nipo mkowa wa kielimu Shinyanga kwa sasa ila ni Simiyu kiutawala.
Kunawanafunzi walichanga tsh 50,000 kwa madai yao ili wafanyiwe mitihani ya form four mwaka 2012. Kilichotokea imepatikana divition III Moja tu tena ya ambaye hakutoa mchango na four chache tu na lundo la O.
Sa wanataka kurudishiwa fedha zao angalau wazifanyie biashara ndogo.

Kama ilivyo kwa sehemu Nyingi Tanzania hasa kwenye shule zetu za yeboyebo na vituo vya watahiniwa wa kujitegemea tabia ya wanafunzi kuchangishwa fedha laivu ili wapewe majibu ni la kawaida, la wazi kabisa haliitaji kabisa uchunguzi na kwa ujumla huchangia sana wanafunzi kufeli kwani

Hawajiandai kabisa na mitihani wakitegemea msahada

Walimu kusovu hadi masomo wasiyoyafundisha au kuyajua

kuwa na walimu wengi sasa ambao ni zao la wizi wa mitihani walipokuwa wanasoma na vyuo UCHWARA.

Pia tabia hii imekomaa sana miaka hii kwasababu ya walimu kuona hizo ndio posho na marupurupu yao kutokana na kutokuwa na semina wala vikao kwa walimu wa kawaida vyenye posho na marupurupu.

HUKU KWETU MATOKEO YAKIWA MAZURI HUWA TUNAULIZA ALISIMAMIA NANI?
Nani alisovu nini?

Shule ya yeboyebo iliyoongoza huku ina walimu wanne tu wakuajiriwa wote wa kiswahili na history.
 
Na mwaka huu mtakuja na sababu za kukurupuka hadi basi.
 
Na mwaka huu mtakuja na sababu za kukurupuka hadi basi.

Mkuu naona Viroba vya Mchana vinaanza kuchanganya sio Mchezo vp kule kwenu Kisiwani Itulabusiga unajua matokeo ya shule zenu?Au umekaa kwenye Benchi la kusubiria Posho Hapo Mlango wa kuingilia ofisini kwa Nchemba.
 
Hizi pumba 2, acha kuondoa attention we mbaba, mnasema mara facebook, mara kuiba mitihan.... Ujuha 2 na sababu za kiwehu.... Tunataka majibu kwann wizara ya elimu na waziri wenu na NECTA yenu mmekuwa wazembe kupindukia mpaka anguko la elimu limetokea ? So hizo pumba zako peleka kwenye tume ya pinda.
 
Mkuu naona Viroba vya Mchana vinaanza kuchanganya sio Mchezo vp kule kwenu Kisiwani Itulabusiga unajua matokeo ya shule zenu?Au umekaa kwenye Benchi la kusubiria Posho Hapo Mlango wa kuingilia ofisini kwa Nchemba.

Naona uharo umekubana bora kaharishe kuliko kunitia kichefuchefu unatia kinyaa nenda kachambe vizuri.
 
Mkuu naona Viroba vya Mchana vinaanza kuchanganya sio Mchezo vp kule kwenu Kisiwani Itulabusiga unajua matokeo ya shule zenu?Au umekaa kwenye Benchi la kusubiria Posho Hapo Mlango wa kuingilia ofisini kwa Nchemba.

Vipi we nyumba ndogo ya Nchemba naona unamshobokea
 
wajinga ndio waliwao, waaache waliwe tena
 
Kuna wanafunzi wa shule flan walihonga kwa HM akawatafutia watu wa kuwafanyia mitihani, wao hawakuingia kwenye chumba cha mtihani na wamefaulu,kweli Tanzania kila ki2 kinawezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…