William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Nipo mkowa wa kielimu Shinyanga kwa sasa ila ni Simiyu kiutawala.
Kunawanafunzi walichanga tsh 50,000 kwa madai yao ili wafanyiwe mitihani ya form four mwaka 2012. Kilichotokea imepatikana divition III Moja tu tena ya ambaye hakutoa mchango na four chache tu na lundo la O.
Sa wanataka kurudishiwa fedha zao angalau wazifanyie biashara ndogo.
Kama ilivyo kwa sehemu Nyingi Tanzania hasa kwenye shule zetu za yeboyebo na vituo vya watahiniwa wa kujitegemea tabia ya wanafunzi kuchangishwa fedha laivu ili wapewe majibu ni la kawaida, la wazi kabisa haliitaji kabisa uchunguzi na kwa ujumla huchangia sana wanafunzi kufeli kwani
Hawajiandai kabisa na mitihani wakitegemea msahada
Walimu kusovu hadi masomo wasiyoyafundisha au kuyajua
kuwa na walimu wengi sasa ambao ni zao la wizi wa mitihani walipokuwa wanasoma na vyuo UCHWARA.
Pia tabia hii imekomaa sana miaka hii kwasababu ya walimu kuona hizo ndio posho na marupurupu yao kutokana na kutokuwa na semina wala vikao kwa walimu wa kawaida vyenye posho na marupurupu.
HUKU KWETU MATOKEO YAKIWA MAZURI HUWA TUNAULIZA ALISIMAMIA NANI?
Nani alisovu nini?
Shule ya yeboyebo iliyoongoza huku ina walimu wanne tu wakuajiriwa wote wa kiswahili na history.