Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hili ni jukwaa huru ambalo kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake.................kama wewe ni great thinker ,usitegemee kuungwa mkono kwa kila unachokisema.budget constraints ni kitu cha kawaida kabisa,labda suala la msingi ni kujiuliza kwamba ni kweli wote walioomba mkopo wana uhitaji wa mkopo?tunaweza kujadili kwa kina vigezo vya kutoa mkopo,je ni sahihi au la?vigezo husika vimefuatwa?wanufaika wa mikopo hiyo ya elimu ya juu wanawajibika(accountable)kulipa ili wengine wafaidike?na vitu kama hivyo.lakini pia unaweza kujiuliza idadi ya wanafunzi wanaochaguliwa kwenda kusoma shule za serikali(wakati mwingine hata sio shule za kata)wanaoamua kuachia nafasi zao na kwenda kusoma shule za binafsi ambazo ada zake ni kubwa mara nyingine hata kuliko gharama za kusoma chuo.watu hawa wakifika chuo wanasema hawana uwezo,je ni sawa?hili sio tatizo?labda utaniambia wanafuata ubora wa elimu kwenye shule binafsi,sikatai,basi pia wajiandae kwa kwa gharama za kusoma chuo................naomba kuwasilisha.<br />
<br />
sikulaumu sana kwa mawazo mgando yako. Sema bahati nzuri sijafahamu umri wako. Ningefahamu ningeweza kukupa tathimini yako kwa kiasi kikubwa wewe unatumia masaburi kufikiri ndio maana hufahamu kwamba ulisoma kwa kodi za watanzania ambao ni wazazi wetu ukaona ni haki yako kupewa huo mkopo kwa katiba ile ile ambayo haijabadilishwa hadi sasa, na kwetu si haki yetu kupewa mkopo ama kweli wewe ni mtoto wa lubumbala unamsaidia kujibu hoja kwa kashfa tena ni vyema umrudie mungu wako ukimwambia nimewakosea wazazi wa watoto wa wakulima usamehewe kwa upupu wako.