<br />
<br />
sikulaumu sana kwa mawazo mgando yako. Sema bahati nzuri sijafahamu umri wako. Ningefahamu ningeweza kukupa tathimini yako kwa kiasi kikubwa wewe unatumia masaburi kufikiri ndio maana hufahamu kwamba ulisoma kwa kodi za watanzania ambao ni wazazi wetu ukaona ni haki yako kupewa huo mkopo kwa katiba ile ile ambayo haijabadilishwa hadi sasa, na kwetu si haki yetu kupewa mkopo ama kweli wewe ni mtoto wa lubumbala unamsaidia kujibu hoja kwa kashfa tena ni vyema umrudie mungu wako ukimwambia nimewakosea wazazi wa watoto wa wakulima usamehewe kwa upupu wako.