wanafunzi wanaoendelea kuna chuo waliopewa mkopo

wanafunzi wanaoendelea kuna chuo waliopewa mkopo

kwa wale waliokuwa wamekosa first year wakaomba second year au?
 
Kwa waliokuwa wameomba wakiwa 1st na 2nd year bado hawajapata hela ila majina yao yalishatoka na kila chuo kilipewa list ya watu wake ili wajaze akaunti zao kisha ndo ufuate utaratibu wa kuwalipa fedha zao.Lakini kwa wale wafaidika wa tangu mwaka wa kwanza,bila shaka wanachuo wengi watakuwa wanaelekea kuishiwa.
 
tudarco bado hata hakieleweki taarifa tutatapata lini,tuwe wavumilivu.
 
Back
Top Bottom