A
Ahaaaa ahaa ila wazazi wa siku hizi mchango kidogo malalamiko ya kutosha.Tsh 300,000 tu mtu anakuja kupiga umbeya namna hii.
Shule anayosoma mtoto wa Dejembi au Heche sio tu ina ukuta ina mpaka CCTV cameras kutazama usalama wa watoto wao. Na wanalipa sababu wanajua elimu ni gharama.
Wewe endelea kuonesha ujinga wako ukifikiri unaleta malalamiko ya maana.
Wewe ukiona unaimudu jua kuna wenzako hawawezi kuimudu so tuliaTsh 300,000 tu mtu anakuja kupiga umbeya namna hii.
Shule anayosoma mtoto wa Dejembi au Heche sio tu ina ukuta ina mpaka CCTV cameras kutazama usalama wa watoto wao. Na wanalipa sababu wanajua elimu ni gharama.
Wewe endelea kuonesha ujinga wako ukifikiri unaleta malalamiko ya maana.
Ukiona uwezi kumudu elimu chagua ujingaWewe ukiona unaimudu jua kuna wenzako hawawezi kuimudu so tulia