Wanafunzi wapya wa vyuo soma hapa

Wanafunzi wapya wa vyuo soma hapa

XOXOQY

Senior Member
Joined
Feb 7, 2011
Posts
193
Reaction score
54
kwa wale wanafunzi wenye roho za kiuanaharakati na kimapinduzi,wenye tamaa ya kuja kutetea wanyonge hakikisheni mnajiunga na website hii ya wanafunzi wa vyuo tuzungumze matatizo yetu imetengenezwa kufanyakazi kwenye simu na kompyuta mwambie mwanafunzi mwenzako kuhusu website hii.website hiyo ni WWW.EDUCHAT.WAPKA.MOBI
 
The way nilvo waona hao wa udsm,cdhan kama wanaweza nginjangija ze2,wengi wao masharobaro na masister duu.
 
The way nilvo waona hao wa udsm,cdhan kama wanaweza nginjangija ze2,wengi wao masharobaro na masister duu.

tutawakimbiza mchakamchaka hadi wakomae hizo sura za mkorogo na scrabu za berber shop..
 
Back
Top Bottom