Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo kwenye kivuko cha wenda kwa miguu barabara ya Kawawa maeneo ya moroko na kanisani kuna wanafunzi wameshika vibango wanasimamisha magari watu wavuke
Ni kawaida hapa moro s/m msamvu nyakati za asubuhi
mimi nilichoona na kugundua ni kuwa madereva wa hapa Tanzania hawawaheshimu kabisa waenda kwa miguu .wana roho mbaya sana tena sana maana akikuona upo kwenye zebra ndio anaongeza speed ili akukute akugonge. Its shame
Mkuu thread inaongelea Morocco na sio Morogoro.
Ooh, ok nimekusoma Mkuu.na yeye ameelezea yanayotokea kwao Morogoro hakumaanisha Morocco
Mkuu thread inaongelea Morocco na sio Morogoro.
Naye anatoa experience yake ya Mororogoro karibu na shule ya msingi Msanvu. Hiyo ni project iliyoanzishwa na jeshi la polisi baada ya kugundua kwamba wanafunzi wanagongwa mara kwa mara.