Hakujawahi kuwa na historia ya watu kufa kutokana na mshituka wa mabomu ya machozi. Afterall mabomu ya machozi yenyewe hayana mashindo mkubwa wa kuweza kusababisha mshituko wa kusababisha mauti hata kama mtu angekuwa na BP. Otherwise, kama mabomu hayo yaliwalenga moja kwa moja na kuwadhuru kama ilivyotokea kwa Mwangosi (RIP).