Habari nilizopata hivi punde ni kwamba wanafunzi wawili wasichana wamefariki dunia kutokana na mshituko walioupata wakati mabomu ya machozi yaliokuwa yakipigwa ndani ya chuo cha uhasibu.
Hakujawahi kuwa na historia ya watu kufa kutokana na mshituka wa mabomu ya machozi. Afterall mabomu ya machozi yenyewe hayana mashindo mkubwa wa kuweza kusababisha mshituko wa kusababisha mauti hata kama mtu angekuwa na BP. Otherwise, kama mabomu hayo yaliwalenga moja kwa moja na kuwadhuru kama ilivyotokea kwa Mwangosi (RIP).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.