SILENT ACtOR
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 627
- 181
Mwalimu mkuu naye apigwe lebo, make kazi zimemzidia ndo mana hawezi kufikiria vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is wrong.ninafanya kazi shule,kuna vitu vinatakiwa kuwa confidential.inatakiwa walimu,wajue medical history za wanafunzi na sio kwa kuruhusu wazazi wao waweke lebo,zitawekwa lebo ngapi?unajua mambo ya shule,kuna kutaniwa,jee mwanafunzi atajisikiaje?hao walimu nao ni wavivu wa kutambua huyu ana tatizo gani la kiafya.basi na wao wajiweke hizo lebo.huku ninakofanya kazi,kuna kitabu cha wanafunzi wenye chronic illness,na inakuwa siri yako,ila inasaidia pale mwanafunzi anapokuwa na tatizo,ujue vya kumsaidia
siwezi ku compare shule hizo mbili.utaratibu wao ni mwingi ni tofauti na nilivyosoma mimi,ila kuna mabo mengine walimu wanafaa wawe na uelewa,kwani mwanafunzi ni sawa sawa na mlezi wako.Huko unakofanya kazi kuna ratio gani ya walimu kwa wanafunzi?
Samahani ila unaweza ukaskia mtu akisema " hao walipoata ukimwi ni kiherehere chao wenyewe" ....kweli kuna watu wana mtindio wa ubongo wa kijutakia yaani huyu mwalimu ana akili kweli??
pumbafu kabisa, kabla ya kuwawekea lebo kwanza wakapime wao wenyewe wajue afya zao, shenzitype, kwani magonjwa yanayouwa ni ukimwi tu, halafu huyo mwalimu anaesema ni maamuzi ya wazazi nae pia ni kilaza kama nainihii wetu huyu, yaani sasa alienda shule kusoma ili iweje kama yeye anatekeleza matakwa ya wazazi, ameidhalilisha taaluma yetu ya uwalimu na lazimi nimchukulie hatua, ujue ni li-voda fasta hili, walimu wa awamu ya nne. pumbafu kabisa
Habari ya mtoto kufundishwa kufanya kazi toka mdogo mie naiona sehemu ya grooming and upbringing! Usiniambie kama mtoto kufagia, kuchota maji na kidumu kama ikihitajika ama kulima kiasi ni child labor! Hivi vitu vinamfundisha mtoto discipline na kumuandaa kujitegemea baadae. Mfano, baada ya kuhusika kikamilifu na ufuaji wa nguo zangu za shule I was extra careful kuhusu kuchafua manake najua mziki wake!
Muhimu mtoto apewe elimu ya ukimwi na situation aliyo nayo! Afundishwe kujilinda na maambukizi mapya na kuwalinda wenzie both nyumbani na shuleni. Sioni any connection btn kufagia na hiv, inakuwa kama mnamuandaa kufa tu na hahitaji life skills! Shame Kiranga!
Wagojwa wa UKIMWI jamanii ni binadamu wenzetu tusiwatenge tutasababisha mengine kama kijinyonga kwa baadhi ya wenye label.
Hivi bongo kama jamii tuna value privacy kihivyo? Mtu mwingine ukimsalimia na kumjulia hali rhetorically tu ataanza kukuelezea mgongo unavyomuuma na kukupa his entire medical history, mtu kama huyu ukimwambia unarisk mtoto apate magonjwa kwa sababu ya privacy atakuelewa?
