Wanafunzi wilaya ya kilwa hawapewi likizo?

mudi juma

Member
Joined
Jul 1, 2022
Posts
64
Reaction score
77
Habari wadau, ni takribani mwaka wa 4 sasa naona wanafunzi wanaosoma sekondari na msingi hususani madarasa ya mitihani hawapewi likizo mwezi wa 4, hali hii inawanyima wanafunzi muda japo kidogo wa kupumzisha vichwa vyao.

Hili ni tatizo kubwa ambalo halitakiwi kufumbiwa macho na wadau wa elimu. Naomba serikali ilitazame jambo hili.

Nawasilisha.
 
Wewe inakuuma nini? Alafu hiyo hiyo halmashauri ikipata matokeo mabaya utakuja kulalamika.
 
Muulize mwalimu Riyan na Mwalimu mpwayungu village
 
Wewe inakuuma nini? Alafu hiyo hiyo halmashauri ikipata matokeo mabaya utakuja kulalamika.
we ndio hunazo kabisa, hayo wanafunzi wa Kilwa wana tofauti gani na wenzao wa nchi nzima? Walioweka muda wa mapumziko wana akili.
 
Back
Top Bottom