Acha kujilegeza Eshy m.s
nendeni mkapigwe mapira na wajeda, mkirudi mavyuon mtaacha kutunyonyea nyonyea lips na vidole...
hongereni sana kwa kupata nafasi hii adimu ambayo wengi wanaililia....
ni liboya kivipi yaani,kwaiyo wananchi wa Mbeya city wana akili mbovu kama ya kwako,acha ujinga wewe.
Inaonekana wewe ni crammer mzuri sana....
eti "elimu kwanza ukakamavu baadae"
hivi unajua maana ya elimu..?
Ni kitendo cha kupata ujuzi mpya, inaweza ikawa formal ama informal...
ni elimu gani unayoizungumzia wewe kama hata huko jeshini wanaitoa, tena jeshini unapata dabo dabo, elimu na ukakamavu
uache uchawi wako! mi si nitaenda kufa huko! mtu mwenyew kimbaumbau afya mgogoro
ni liboya kivipi yaani,kwaiyo wananchi wa Mbeya city wana akili mbovu kama ya kwako,acha ujinga wewe.
Nimeacha ujinga...
lakini na nyinyi mliomuingiza yule teja mjengoni muache u.pumbu. afu..
mwambieni huyo muhuni wenu aache utahira, na michezo yake ya kitoto, anadhani vipaza sauti vya bungeni ni maiki za kuimbia night club....!!
Wapi aliona muafaka unafikiwa kwa kupigana pigana, mwambieni kabisa aache u.fa. raa
inatakiwa kutoa tamko moja la wanafunzi kidato cha sita, na sio kuacha nidhamu za uoga tumezungushwa vya kutosha this year....waziri wa elimu yuko waap kutoa tamko.
Aisee hebu tuachie siasa na chadema wataalamu wa siasa na sheria

Sikia Binti usi bwabwaje bwabwaje,usiwe na jaziba,usitukane,usi panic, kuwa mpole hapo ndipo tutaelewana.
mimi ni raia wa mwanza na Siwezi kuwadhihaki wananchi wa mbeya kama wewe ulivyo watukana nitakua sijawatendea haki kabisa,So naendelea kusema acha ujinga.
NB:SIJAKWAMBIA UACHE UPUMBAVU,nooo ACHA UJINGA.

Kumbe xir phery ni kabinti hahahahahaaa
inatakiwa kutoa tamko moja la wanafunzi kidato cha sita, na sio kuacha nidhamu za uoga tumezungushwa vya kutosha this year....waziri wa elimu yuko waap kutoa tamko.
Kumbe xir phery ni kabinti hahahahahaaa
dah nilikua sijui aseeeee