wanafunzi wote wa kidato cha sita tuungane kwa tamko moja kupinga maamuzi ya jkt......awamu ya 3

Acha kujilegeza Eshy m.s

nendeni mkapigwe mapira na wajeda, mkirudi mavyuon mtaacha kutunyonyea nyonyea lips na vidole...

hongereni sana kwa kupata nafasi hii adimu ambayo wengi wanaililia....

uache uchawi wako! mi si nitaenda kufa huko! mtu mwenyew kimbaumbau afya mgogoro
 
Last edited by a moderator:
Kwa taarifa niliyoipata kutoka WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA , kitengo cha JESHI LA KUJENGA TAIFA ni kwamba wanataka kuonana na TCU wajadali hilo suala
 
Inaonekana wewe ni crammer mzuri sana....
eti "elimu kwanza ukakamavu baadae"

hivi unajua maana ya elimu..?
Ni kitendo cha kupata ujuzi mpya, inaweza ikawa formal ama informal...

ni elimu gani unayoizungumzia wewe kama hata huko jeshini wanaitoa, tena jeshini unapata dabo dabo, elimu na ukakamavu

xir jyerphy shida sio kwenda jkt ila utaratibu wanautumia unatuchanganya walengwa tunabaki njia panda. Jana nimechukuwa barua ya addimission na inanitaka nireport chuo tarehe 12 octb at the same time jana iyo iyo jina langu limetokea kati majina ya vijana wanaotakiwa kuripoti makambini cjui 28 sptmbr. We unafikiri ungekuwa ww ungekuwa kwenye wakati gani.
 
ni liboya kivipi yaani,kwaiyo wananchi wa Mbeya city wana akili mbovu kama ya kwako,acha ujinga wewe.

Nimeacha ujinga...

lakini na nyinyi mliomuingiza yule teja mjengoni muache u.pumbu. afu..
mwambieni huyo muhuni wenu aache utahira, na michezo yake ya kitoto, anadhani vipaza sauti vya bungeni ni maiki za kuimbia night club....!!

Wapi aliona muafaka unafikiwa kwa kupigana pigana, mwambieni kabisa aache u.fa. raa
 
Aisee hebu tuachie siasa na chadema wataalamu wa siasa na sheria
 
inatakiwa kutoa tamko moja la wanafunzi kidato cha sita, na sio kuacha nidhamu za uoga tumezungushwa vya kutosha this year....waziri wa elimu yuko waap kutoa tamko.

"kwa sasa hapana jkt, masomo kwanza jkt baadae"
 
Nimeacha ujinga...

lakini na nyinyi mliomuingiza yule teja mjengoni muache u.pumbu. afu..
mwambieni huyo muhuni wenu aache utahira, na michezo yake ya kitoto, anadhani vipaza sauti vya bungeni ni maiki za kuimbia night club....!!

Wapi aliona muafaka unafikiwa kwa kupigana pigana, mwambieni kabisa aache u.fa. raa

Sikia Binti usi bwabwaje bwabwaje,usiwe na jaziba,usitukane,usi panic, kuwa mpole hapo ndipo tutaelewana.
mimi ni raia wa mwanza na Siwezi kuwadhihaki wananchi wa mbeya kama wewe ulivyo watukana nitakua sijawatendea haki kabisa,So naendelea kusema acha ujinga.

NB:SIJAKWAMBIA UACHE UPUMBAVU,nooo ACHA UJINGA.
 
Kumbe xir phery ni kabinti hahahahahaaa
 
Sikia Binti usi bwabwaje bwabwaje,usiwe na jaziba,usitukane,usi panic, kuwa mpole hapo ndipo tutaelewana.
mimi ni raia wa mwanza na Siwezi kuwadhihaki wananchi wa mbeya kama wewe ulivyo watukana nitakua sijawatendea haki kabisa,So naendelea kusema acha ujinga.

NB:SIJAKWAMBIA UACHE UPUMBAVU,nooo ACHA UJINGA.

Wacha niwe mpole... xir jyerphy na siasa wapi na wapi,, nimevamia vitengo vya watu asee...

lakini nakukumbusha tena, bongo hakuna siasa zaidi ya utapeli na ufujaji wa chench za walalahoi....!!

Sijui zima taa tupigane....
mara mtu ametumwa bungeni kutetea kero za wavuvi, wakulima na machinga anaanza kuporojoka kwa kimombo kama vile akina #walthold , #hunnington , Eng.livingstone, #chelsea na #shoreymary ndo walimpigia kura...
 
Last edited by a moderator:
Kwenye ukweli msibishane eti kisa mtu kaenda jeshini na wengine waende wakat uwaz wa mpangilio mbovu inaonekana.
 
Back
Top Bottom