Tila-lila2
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 652
- 1,058
Sio kikubwa lkn kinatumika kupumbaza na kuziba watu midomo!Mambo mengine tuwe tunaacha yapite mkuu. Tausi si kitu kikuuuuubwa
🤣 🤣 🤣 kiasi fulani. Ulipoandika NDEGE, nikawaza kwamna kuna watu wamegawa Dreamliner na Bombadiers zetu. Kuja kusoma thread nakuta ni ndege TAUSISio kikubwa lkn kinatumika kupumbaza na kuziba watu midomo!
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] kiasi fulani. Ulipoandika NDEGE, nikawaza kwamna kuna watu wamegawa Dreamliner na Bombadiers zetu. Kuja kusoma thread nakuta ni ndege TAUSI
Mara anarukia "Mbu wa Ndengue" kazi kweli kweli!wewe ndio kama mimi mkuu.
Nilivutiwa sana kuusoma uzi baada ya kuona heading,kuingia ndani nakuta mambo tofauti.
Anaongelea ndege tausi mara anaruka anaanza kudai nyongeza ya mshahara mara anarukia kudai kiinua mgongo cha kustaafu.
Hii ni kweli! Ila Mwinyi tu naona hakusema kafanyaje?Simply wote ni wamoja, unapokua mtawala whether umetoka kwenye kiti au upo lazima muimbe wimbo mmoja, kuna mambo mengi mazito ambao wote wanawajibika kuyalinda no matter uko nje au ndani.
Mitazamo binafsi ya wastaafu wanapokua majukwaani isikufanye ukadhani kuna kutofautiana sana au kuna atakayemkemea mwenzie, wanatumia tu lugha za kutusahaulisha shida zetu as hawako in power! ni mara chache kwa nchi za dunia ya tatu aliyeko benchi kumsema mwenye mamlaka! Hajipendi??.....
Toka kwenye kumuimbia mapambio Mwamba a.k.a Mbowe hadi kwenda kujadili upewaji wa ndege Tausi?Walivyoelezea tu historia ya ujio wa makao Makuu Dodoma na hasa kila mmoja alivyogusia alichokifanya utagundua kabisa wapo pamoja. Kubwa zaidi ni namna walivyozawadiwa zawadi ya ndege. Utasema nini sasa?
Mkulu akaona afanye justification asionekane kajipendelea yeye tu kuhamishia wanyawa kule kwake. Kawapa na wenzake na hamna aliyekataa though Mkwere kdg alionesha wanaweza kwenda kufa kwake.
Sasa hapa najiuliza iwapo hawa watu wapo wamoja hivyo kwa mambo yasiyo na manufaa kwa wananchi yaani hadi kupeana tausi - ndege wa kifahari namna hivyo wanaashiria nini sasa ukifanya na ulinganisho wa kubinya haki za wafanyakazi. Mfanyakazi hajapandishiwa mshahara miaka minne - hivi Mkwere kwa nini pale hata hukusema hilo?
Mkapa kwanini usingeshukuru kwa zawadi ya tausi halafu ukamchomeka basi mwanao awakumbuke hata wafanyakazi tu? Mzee Mwinyi umezibwa mdomo sio!
Sasa hao tausi wanasaidia nini sasa kwako kuishi kwa amani na raha mustarehe kama kuna wastaafu wenzio hawajalipwa tangu wastaafu mwaka jana Julai?
Mnawapamba wanajeshi kuwa wanafanya kazi nzuri ili kuwajaza mioyo ya kuwachukia wale wanaowakosoa! Mnawaahidi kazi JKT na mnawapandisha vyeo lukuki.
Wafanyakazi wengine mnawanyima nyongeza, mnawahamisha bila kuwapa haki zao, mnawakaimisha hadi matako yanaota sugu bila kuwathibitisha, hamtoi ajira mpya, yaani ni full manyanyaso!
Anyway endeleeni tu kula nchi na ndege wake - ipo siku mambo yatabadilika tu- oneni ya USA. Ukweli na mwaka huu chama changu CCM sikipi kura hata moja, hata kama kijijini kwangu Idukilo kitawapata wanaCCM loyal kwenu. Mimi hapana!
There is cure for secure!Toka kwenye kumuimbia mapambio Mwamba a.k.a Mbowe hadi kwenda kujadili upewaji wa ndege Tausi?
Naona jinsi nafsi zenu zinavyoungua, nayahisi maumivu yenu sema ndio hamna namna ya kuwaponya kwakua
THERE IS NO CURE FOR INSECURE
You should have it aiseeThere is cure for secure!
Asee endelea kula tu mayai ya Tausi !You should have it aisee
Sio kikubwa lkn kinatumika kupumbaza na kuziba watu midomo!
Siera Siera - OVAAAA!Wenaweeeh
Watu wa Pwani mara nyingi wakiongea huwa wanaongea kwa mafumbo na inabidi uwe mchokochoko kidogo ili uelewe nini kinaongelewa, sasa mie toka ile shughuli ilivyoisha mie najiuliza maana ya " Nimejifunza ndege hawa usiku hupenda kulala juu ya miti na kuacha vifaranga chini na asubuhi hushuka chini akivikuta vifaranga vyote haya vikipungua haya" hii ni kwa nukuu yangu toka Chalinze Chalinze hivi
Wewe ukipewa utawafugia wapi hata pa kulala hunaWalivyoelezea tu historia ya ujio wa makao Makuu Dodoma na hasa kila mmoja alivyogusia alichokifanya utagundua kabisa wapo pamoja. Kubwa zaidi ni namna walivyozawadiwa zawadi ya ndege. Utasema nini sasa?
Mkulu akaona afanye justification asionekane kajipendelea yeye tu kuhamishia wanyawa kule kwake. Kawapa na wenzake na hamna aliyekataa though Mkwere kdg alionesha wanaweza kwenda kufa kwake.
Sasa hapa najiuliza iwapo hawa watu wapo wamoja hivyo kwa mambo yasiyo na manufaa kwa wananchi yaani hadi kupeana tausi - ndege wa kifahari namna hivyo wanaashiria nini sasa ukifanya na ulinganisho wa kubinya haki za wafanyakazi. Mfanyakazi hajapandishiwa mshahara miaka minne - hivi Mkwere kwa nini pale hata hukusema hilo?
Mkapa kwanini usingeshukuru kwa zawadi ya tausi halafu ukamchomeka basi mwanao awakumbuke hata wafanyakazi tu? Mzee Mwinyi umezibwa mdomo sio!
Sasa hao tausi wanasaidia nini sasa kwako kuishi kwa amani na raha mustarehe kama kuna wastaafu wenzio hawajalipwa tangu wastaafu mwaka jana Julai?
Mnawapamba wanajeshi kuwa wanafanya kazi nzuri ili kuwajaza mioyo ya kuwachukia wale wanaowakosoa! Mnawaahidi kazi JKT na mnawapandisha vyeo lukuki.
Wafanyakazi wengine mnawanyima nyongeza, mnawahamisha bila kuwapa haki zao, mnawakaimisha hadi matako yanaota sugu bila kuwathibitisha, hamtoi ajira mpya, yaani ni full manyanyaso!
Anyway endeleeni tu kula nchi na ndege wake - ipo siku mambo yatabadilika tu- oneni ya USA. Ukweli na mwaka huu chama changu CCM sikipi kura hata moja, hata kama kijijini kwangu Idukilo kitawapata wanaCCM loyal kwenu. Mimi hapana!
Baeleze haba batotoSimply wote ni wamoja, unapokua mtawala whether umetoka kwenye kiti au upo lazima muimbe wimbo mmoja, kuna mambo mengi mazito ambao wote wanawajibika kuyalinda no matter uko nje au ndani.