Wanahabari akiwemo Mkenya washikiliwa kusikojulikana ndani ya Tanzania

Wanahabari akiwemo Mkenya washikiliwa kusikojulikana ndani ya Tanzania

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wanahabari wawili akiwemo Mkenya walikamatwa hotelini na watu waliojitambulisha kuwa maafisa wa uhamiaji na kupelekwa kusikojulikana. Hiyo ni baada ya kunyan'ganywa vyeti vyao. Hadi sasa hamna tamko kutoka kwa serikali ya Tanzania, hiyo inatia hofu maana inawezekana waliowakamata wakawa ni lile kundi hatari la watu wasiojulikana.

Huwa nashauri Wakenya mkisafiri kwenda kwenye baadhi ya hizi nchi haswa za Kiafrika zenye sifa za watu wasiojulikana, hakikisha ubalozi wetu unafahamu uwepo wako na ikitokea unakamatwa, piga simu ubalozini papo hapo na pia muite wakili wako ili ukamatwe mbele yake. Tatizo ikitokea unakamatwa barabarani na magari yao, hapo huna jinsi....
---------------------------------------------------


Kenyan journalist Muthoki Mumo, Angela Quintal detained in Tanzania
By Ian Omondi For Citizen Digital
vida-clock-icon.png
Published on: November 8, 2018 08:38 (EAT)


Muthoki-and-Angela.jpg

CPJ staff Muthoki Mumo and Angela Quintal who have been detained in Tanzania while on official duty. PHOTOS | CPJ
Two journalists, including a Kenyan, were on Wednesday arrested in their hotel room in Tanzania and detained at an undisclosed location.

The Committee to Protect Journalist (CPJ), in a press release, has asked Tanzanian authorities to release their staff Angela Quintal and Kenyan-born Muthoki Mumo who were taken into custody from their Dar-es-Salaam hotel room.

Ms. Mumo, a former reporter with Nation Media Group’s Business Daily, is CPJ’s sub-Saharan Africa representative while Ms. Quintal is the Africa Program Coordinator.

According to CPJ, officers who identified themselves as working with the Tanzanian immigration authority showed up at the pair’s hotel room, searched their belongings and confiscated their passports.

“Quintal and Mumo were then escorted from the hotel and have been taken to an unknown location. They were in the country on a reporting mission for CPJ,” reads the statement.

“We are concerned for the safety of our colleagues Angela Quintal and Muthoki Mumo, who were detained while legally visiting Tanzania,” said Joel Simon, CPJ’s executive director.


The CPJ boss further called on the Tanzanian authorities to release the two and return their passports.

An earlier tweet posted on Ms. Quintal’s Twitter account, which has since been suspended, suggested that they had been freed but CPJ rubbished the claims saying her devices may have been compromised.



Earlier today, CPJ learned that two of our staff, Angela Quintal and Muthoki Mumo, were detained in #Tanzania. We fear Quintal's devices are compromised, and do not trust a Tweet from her account stating they were freed. We reiterate our call for their immediate release.​
Twitter Ads info and privacy





It's extremely alarming that Angela Quintal's devices may have been compromised. We have had no contact with @angelaquintal or @muthokimumo since they were detained and believe both are still in the custody of Tanzanian authorities.​

 
So wakenya sio waafrika, nyie mijitu ya ajabu sana apo umemwona tu huyo mkenya kaongozana na ngozi nyeupe ndio unaongea.
Angekua na li nyangau km ww usingesumbua kuleta mada hapa.
Hao watahojiwa na kurudishwa walipotolewa.
Hawajatekwa Idiot.
 
Kuna sehemu nimesoma kwamba Marekani imetoa tamko kwa hili, na jinsi wenzetu wanawaogopa wazungu, hao wataachiwa bila kuguswa popote.
😀😀 eti wanaogopa wazungu? ki vipi RC Makonda na Rais Maghufuli hawatambui ilo, kusema ukweli nampenda uyu Jamaa Makonda, i think ndiye Malema wa uku mashariki.
 
😀😀 eti wanaogopa wazungu? ki vipi RC Makonda na Rais Maghufuli hawatambui ilo, kusema ukweli nampenda uyu Jamaa Makonda, i think ndiye Malema wa uku mashariki.

Tatizo hukurupuka halafu akigeuziwa kibao analia machozi, Makonda anapenda kulia sana jamaa.
 
Tatizo hukurupuka halafu akigeuziwa kibao analia machozi, Makonda anapenda kulia sana jamaa.
but makonda is man to watch in Tz wajua the guy already understands the government system very well, kwa siasa watu kama hawa ndio that rise to become powerful people kama ma Rais. ata uku Kenya si Unaona vile Ruto uwa analia.
 
but makonda is man to watch in Tz wajua the guy already understands the government system very well, kwa siasa watu kama hawa ndio that rise to become powerful people kama ma Rais. ata uku Kenya si Unaona vile Ruto uwa analia.

Kwa kweli ukimskliza Ruto wakati anahojiwa, jamaa yuko poa sana upstairs, halafu pia hata huyo Makonda ipo siku nilitazama akihojiwa kwenye studio, sikuamini jamaa anazo akili kiasi hicho, alikua anajieleza hadi basi.
 
Tatizo hukurupuka halafu akigeuziwa kibao analia machozi, Makonda anapenda kulia sana jamaa.
Ila jamaa linapenda kubambiwa hatari...eti ndo vita dhidi ya ubasha huuu!!
IMG_20181105_134645_142.jpg
 
Watanzania mda mwingine tunazingua hadi kero, toooo much harmful, Kenya nilikuwa naingia kama vile nipo Tanzania bila kusumbuliwa vibali wala kuhofia maisha yangu,

Lakini sasa hivi kwenda tu boda ya Namanga sikanyagi tena kuhofia usalama wangu, Diplomasia ya hizi nchi mbili ulisha potea kabisa, tunaishi tu kiunafiki.....


Tanzania sisi ni wanafikiiii namba moja Africa na ya pili Duniani kwa Unafiki....
 
Back
Top Bottom