Wanahabari akiwemo Mkenya washikiliwa kusikojulikana ndani ya Tanzania

Wanahabari akiwemo Mkenya washikiliwa kusikojulikana ndani ya Tanzania

Wacha wakatolewe malinda
Hatutaki umalaya. Tanzania sio nchi ya kindezindezi
Hivi waTz mnaofurahia huu *USIOJULIKANA" mna ufahamu kweli ?! Nchi zenye sifa hizi za wasiojulikana hawana maendeleo wala democracy. Na kwa mtu anayejuwa sisi si kisiwa na watu wetu wanaenda nje na hawatiwi misukosuko. Labda ushabikie vitu hivi ukiwa na akili za humu humu.
 
this county is not free....journalism is a dangerous profession in tz
 
hii imenikumbusha ile habari ya mwanahabari jamal Khashoggi wa Saud Arabia aliyeuwawa mjini Istanbul...
 
Watanzania mda mwingine tunazingua hadi kero, toooo much harmful, Kenya nilikuwa naingia kama vile nipo Tanzania bila kusumbuliwa vibali wala kuhofia maisha yangu,

Lakini sasa hivi kwenda tu boda ya Namanga sikanyagi tena kuhofia usalama wangu, Diplomasia ya hizi nchi mbili ulisha potea kabisa, tunaishi tu kiunafiki.....


Tanzania sisi ni wanafikiiii namba moja Africa na ya pili Duniani kwa Unafiki....
Hautaenda coz hauna mishe ya maana ya kufanya.. Wenye mishe tunaenda hadi Somalia
 
Back
Top Bottom