Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Wacha wakatolewe malinda
Hivi waTz mnaofurahia huu *USIOJULIKANA" mna ufahamu kweli ?! Nchi zenye sifa hizi za wasiojulikana hawana maendeleo wala democracy. Na kwa mtu anayejuwa sisi si kisiwa na watu wetu wanaenda nje na hawatiwi misukosuko. Labda ushabikie vitu hivi ukiwa na akili za humu humu.Hatutaki umalaya. Tanzania sio nchi ya kindezindezi