Wanahabari wanaodaiwa kuvujisha Video ya Rais Salva Kiir akitokwa haja ndogo wakamatwa

Tuheshimu wazee, hivi babaako akipatwa na shida kama hiyo utamsambaza?!, tusitiri mtu kwa uzee wake, mambo kama haya nadhani ndio Biblia inasema yametuletea laana watu weusi, babaako kalewa yupo uchi we unaanza kucheka badaa ya kuvua shati umfunike, laana tupu!
 
SI alijikojolea kweli,
Apumzike Sasa
 
bora walikosea sana kumdhalilisha Babu wa watu. ni ukosefu wa adabu na maadili.
 
Wanasema imevujishwa, nikahisi sio live, kumbe ni Mubashara?! Labda Cameraman alitakiwa kuwa sharp kuhamisha camera
 
Huku kwetu fistula inatibika, tena bila malipo….. wamlete hajachelewa.
 
Dah
 
Hapa ninahitaji ufafanuzi. Hilo tukio halikuwa live kwa watu wote kupitia media mbalimbali? Kama lilikuwa mubashara, waandishi wangezuiaje sehemu iliyokwishakwenda hewani?
 
Hiki kibabu kitagombea tena kweli? ni kama kameshapata ule ugonjwa wa kutetemeka unaovipata vizungu vizee....
Ana miaka 71 na kumekuwa na mijadala mingi kuhusu afya yake.
 
Hao wanastahili kukamatwa na kushughulikiwa weli kweli yaani unawezaje kutoa video clip kama hiyo public kama angekuwa mzazi wao kweli angeweza kutoa clip hiyo. Nafikiri waafrika tufike sehemu tujitambue kifikra. Sidhani kama wazungu wangeweza kutoa video clip kama hiyo kama inamhusu kiongozi wao!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…